Ila wanawake: Ananilaumu kila siku sijawahi kumtoa out wala kula hata 50 yangu wakati sisi ni washkaji tu!

Ila wanawake: Ananilaumu kila siku sijawahi kumtoa out wala kula hata 50 yangu wakati sisi ni washkaji tu!

Kuna baadhi ya wanawake inabidi uwaangalie tu km walivyo. Ukijifanya una tamaa ndiyo mwanzo wa kubeba matatizo hata kuvuruga kbsa maisha yako kiujumla.
Safi sana. Kaangalie hivyo hivyo
Mimi nilishaacha kutongoza wanawake ovyo ovyo, kuna wengine hawana utulivu wa akili kabisa.
Kama huyo mwanamke anawaza kutumia pesa zako tu, hapo mkuu hilo ni bomu. Kimbia
Mimi nimestaafu kabisa, wanawake wote ni dada zangu kwasasa😅
 
😂😂😂
Hivyo kila mtoa thread humu ndani aanze kutaja kabila la muhusika wa story yake, si litakuwa jumba la makumbusho..??
Mkuu kwani unaumia nini nikitaja hili kabila la wasaka tonge
 
Back
Top Bottom