Ila wasukuma....

Wanaume ndo wanaona Sasa kupigiwa magoti hivyo ndo u-wife material, mhhh weka ndani uone utajua hujui
 
Huyo namuoa sekunde tu

Uwe makini wengine ni kwa nje tu huko lakini moyoni ni wakatili na jeuri hujapata kuona.
Lakini kwa wanawake wa wasukuma sio sana lakini Jichanganye kwa wanawake wa kinyakyusa na wafipa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
jamii hizo zote zinapiga magoti wanawake lakini ni wajeuri kupita kiasi na wengine usiku wanapaa na nyungo (wachawi) wanaua, wanatesa, wanaharibu maisha ya watu innocent.
Halafu wachawi wengi Sijui ni sharti la kichawi huwa wanaua wanaume zao na mtoto yule ambae ako Neema ambao ni tegemeo la wengi.
Buyer beware
 
Hao mafara wanakula utadhani ndo siku yao ya mwisho hapa duniani
Basi inatosha, nawaombea msamaha wasukuma wote wa JF ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Hawa watu mmefunga na kufungua nao mwaka, wapumzisheni sasa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ