Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Bhaghosha na bhankima...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri huyo malaya ànajiuza hadi umuoe sekunde tuu.?Huyo namuoa sekunde tu
DuhUnafikiri huyo malaya ànajiuza hadi umuoe sekunde tuu.?
Huo ni utamaduni wao, sio hata heshimaMwanamke anatakiwa awe hivo
Heshima mtu wangu...
Mambo yao waachie wenyewe as long as hayana madhara na yanajenga utu na undugu zaidi wa kuheshimiana
Huyo namuoa sekunde tu
Huo ni utamaduni wao, sio hata heshima
Hao mafara wanakula utadhani ndo siku yao ya mwisho hapa duniani
Kula vizuri angali Una Aya. Kuna kipindi kinakuja hata kikombe cha uji hutamaliza na ikitokea umemaliza ukoo wote wanapigiana simu. enjoy nowHao mafara wanakula utadhani ndo siku yao ya mwisho hapa duniani
Lazima nguvu za kwenda kulima zipatikane kwa njia ya kula.Hao mafara wanakula utadhani ndo siku yao ya mwisho hapa duniani
Bhaghosha na bhankima...
bhenghwe
Basi inatosha, nawaombea msamaha wasukuma wote wa JF 😹😹Hao mafara wanakula utadhani ndo siku yao ya mwisho hapa duniani