Ila wasukuma....

Ila wasukuma....

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Bhaghosha na bhankima...

FB_IMG_1738330973328.jpg
 
Wanaume ndo wanaona Sasa kupigiwa magoti hivyo ndo u-wife material, mhhh weka ndani uone utajua hujui
 
Huyo namuoa sekunde tu

Uwe makini wengine ni kwa nje tu huko lakini moyoni ni wakatili na jeuri hujapata kuona.
Lakini kwa wanawake wa wasukuma sio sana lakini Jichanganye kwa wanawake wa kinyakyusa na wafipa 😆😆😆
jamii hizo zote zinapiga magoti wanawake lakini ni wajeuri kupita kiasi na wengine usiku wanapaa na nyungo (wachawi) wanaua, wanatesa, wanaharibu maisha ya watu innocent.
Halafu wachawi wengi Sijui ni sharti la kichawi huwa wanaua wanaume zao na mtoto yule ambae ako Neema ambao ni tegemeo la wengi.
Buyer beware
 
Back
Top Bottom