Ila wazazi wa Bongo kiboko!

Mama yako anaweza kwa wa 70s tu hapo, anatakiwa kuwa romantic.
Serious,. Wenzie wako romantic lakini yeye sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Nakumbuka kuna siku alikujaga shule kwenye kikao wakati niko primary alinihug akanipa na biscuit, basi wenzangu wakajua mama angu ananipendaa ndio anavyonifanyia mpaka nyumbani, kumbee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ