Ila wazazi wa Bongo kiboko!

Ila wazazi wa Bongo kiboko!

waafrika hatupo wazi sana kihisia.

kupongezana na kutiana moyo tunafanya mara moja moja sana.

kumkumbatia mtu ni kazi, inaweza kuleta shida.

ila huenda kuna faida za kuwa hivi, huenda ni tamaduni zetu.
Mkumbatie akwambie unanuka jasho

Kunae boss wangu ukienda ofisini kwake kuongea nae anakwambia simama mlangoni 😂 siku akikwambia kaa basi yeye anasogeza kiti chake nyuma kabisa uko ndio mnaongea
 
🤣🤣🤣 nimekumbuka kitambo. bimkubwa nikimwambia 'mama tumbo linaniuma' akihisi siko siriasi na homa anajibu 'kalete kisu mwanangu tukate hilo tumbo, kwanini likusumbue mwanangu'
Kuna siku nilikua naumwa tumbo nikamwambia mama nahsi tumbo linaniuma Akanijibu "hizo simu mnazoshika kuanzia asubuhi hadi usiku" nikabaki tu kujiuliza simu na tumbo wapi na wapi?😂😂
 
Back
Top Bottom