Ila wazazi wa Bongo kiboko!

Ila wazazi wa Bongo kiboko!

Serious,. Wenzie wako romantic lakini yeye sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Nakumbuka kuna siku alikujaga shule kwenye kikao wakati niko primary alinihug akanipa na biscuit, basi wenzangu wakajua mama angu ananipendaa ndio anavyonifanyia mpaka nyumbani, kumbee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wadada wa 70s na 80s ndio mama zenu, wengi wapo kisasa sana..ndio wamefundisha watoto wetu kuvaa vipedo๐Ÿคฃ
 
waafrika hatupo wazi sana kihisia.

kupongezana na kutiana moyo tunafanya mara moja moja sana.

kumkumbatia mtu ni kazi, inaweza kuleta shida.

ila huenda kuna faida za kuwa hivi, huenda ni tamaduni zetu.
Hata kumhug Leejay barabarani mtakatwa macho...mioyoni mwao they like "hawa naoo umalaya tu" ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wadada wa 70s na 80s ndio mama zenu, wengi wapo kisasa sana..ndio wamefundisha watoto wetu kuvaa vipedo๐Ÿคฃ
Lakini sio na mama angu mimi mkuu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,. Naona mwaka huu kama ameanza kuzeeka au tu hataki kujichosha,. La sivyo huko zamani ukiwa unatoka anakwambia funua nguo mojamoja anahakikisha umevaa vizuri kuanzia ndani,
Hataki ujinga ujinga๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Babangu hata nikipga simu dk mbili nyingi tishamaliza!

By then mama Yuko charming tutaongea mno yaan.... Ila ukimwambia chochote babako anajua!

Ila ndo vzr lzm ile heshima ya mzee ionekane!
Me mzee wangu hanaga stori na mtu labda mama tu ndio wanaongeaga sana, ila sie wengine ni salamu na kufuata tu maagizo anachokisema basi
 
Back
Top Bottom