Ila wazazi wa Bongo kiboko!

Ila wazazi wa Bongo kiboko!

Nampenda sana mama yangu, huwa nikipata nafasi ya kumwambia namwambia na anafurahia sana.

Wengi wanawapost wazazi wao na kuweka maneno mazuri ya upendo lakini cha ajabu ni kuwa hao wazazi hayo hawayaoni na hawajawahi kuambiwa.

Tujitahidi kuwapenda watu na kuwaonesha wangali na uhai, uwepo wao ni muhimu sana.
 
Mama ananiambiaga hayo mavitu unaweka huko masikioni ndio yanakupotezea hata baraka zako😂

Usiombe uongee nae kwenye simu alafu aseme kitu usikisikie, utasikia unisikii kwa sababu ya hayo mavitu unawekaga huko sikioni.
Unabaki kujiuliza baraka zinapitia maskioni au vipi?,.😂😂😂

Na akiongea kitu harudii mara mbili,. Ila wamama😄
 
Nampenda sana mama yangu, huwa nikipata nafasi ya kumwambia namwambia na anafurahia sana.

Wengi wanawapost wazazi wao na kuweka maneno mazuri ya upendo lakini cha ajabu ni kuwa hao wazazi hayo hawayaoni na hawajawahi kuambiwa.

Tujitahidi kuwapenda watu na kuwaonesha wangali na uhai, uwepo wao ni muhimu sana.
Yeah ni vizuri kuwaambia wawe wanajua
 
Back
Top Bottom