Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Kumbe ndio wewe uliyekuwa unamtumia mchepuko wangu hizi sms?Nikasema wacha leo nijaribu kuwa mzungu nimwambie mama angu nampenda,. Kilichonipata View attachment 3223579View attachment 3223580 Hawajai kuwa romantic😄😂😂
Kumbe huyu mrembo ndio mama yako?😀😀