I implicit memory JF-Expert Member Joined Nov 14, 2024 Posts 806 Reaction score 926 Feb 4, 2025 #121 Mtu yu tayari awe mpezi wa chama fulani au timu fulani,lkn kumwambia hivyo mzazi wake au hata wanandoa hawaambiani hilo neno,lkn katika uislamu lakubalika hili,japo bado napo uelewa ni mdogo,nadhani pia tumeathiriwa na tamaduni zetu waafrika.
Mtu yu tayari awe mpezi wa chama fulani au timu fulani,lkn kumwambia hivyo mzazi wake au hata wanandoa hawaambiani hilo neno,lkn katika uislamu lakubalika hili,japo bado napo uelewa ni mdogo,nadhani pia tumeathiriwa na tamaduni zetu waafrika.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 4, 2025 #122 Leejay49 said: Yeah ni vizuri kuwaambia wawe wanajua Click to expand... Yes yes yoo
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 4, 2025 #123 Leejay49 said: Unabaki kujiuliza baraka zinapitia maskioni au vipi?,.😂😂😂 Na akiongea kitu harudii mara mbili,. Ila wamama😄 Click to expand... Harudii kabisa na akirudia ni baada ya kukuhubiria hilo sana.
Leejay49 said: Unabaki kujiuliza baraka zinapitia maskioni au vipi?,.😂😂😂 Na akiongea kitu harudii mara mbili,. Ila wamama😄 Click to expand... Harudii kabisa na akirudia ni baada ya kukuhubiria hilo sana.
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Feb 4, 2025 Thread starter #124 Half american said: Harudii kabisa na akirudia ni baada ya kukuhubiria hilo sana. Click to expand... Yaani😄😂
Half american said: Harudii kabisa na akirudia ni baada ya kukuhubiria hilo sana. Click to expand... Yaani😄😂
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 4, 2025 #125 Leejay49 said: Yaani😄😂 Click to expand... Uko poa lakini mamy?
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Feb 4, 2025 Thread starter #126 Half american said: Uko poa lakini mamy? Click to expand... Niko poa aisee, sijui wewe huko unaendeleaje?
Half american said: Uko poa lakini mamy? Click to expand... Niko poa aisee, sijui wewe huko unaendeleaje?
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 4, 2025 #127 Leejay49 said: Niko poa aisee, sijui wewe huko unaendeleaje? Click to expand... Niko njema kiasi namshukuru Mungu mwingi wa rehma.
Leejay49 said: Niko poa aisee, sijui wewe huko unaendeleaje? Click to expand... Niko njema kiasi namshukuru Mungu mwingi wa rehma.