implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Mtu yu tayari awe mpezi wa chama fulani au timu fulani,lkn kumwambia hivyo mzazi wake au hata wanandoa hawaambiani hilo neno,lkn katika uislamu lakubalika hili,japo bado napo uelewa ni mdogo,nadhani pia tumeathiriwa na tamaduni zetu waafrika.