Ila Yanga SC mnajua sana 'Kutukoga' wana Simba SC na hivi Mnatufunga mnavyotaka kila Derby mbona tutawakomeni

Na Huo ndio Ushabiki sasa, kukubali kuwa kwasasa jirani anafanya vizuri huku mkiweka mambo yenu sawa....

Atakuja yule jamaa mropokaji na kutukana au kupinga hata hilo

Kwasasa Yanga ipo kwenye Peak, hata kipofu anaona hilo
 
Hakika huu ni wakati wenu nanyi Kutamba kwani mliteseka na tuliwatesa mno miaka kadhaa ya nyuma.
 
Simba haijawahi kututesa japo ilichukua ubingwa mara nne ila haikutufunga mara nne mfululizo huku mara ya Tano na Sita zikionekana kama zitajitokeza tena🙌
 
Kweli kabisa kwa miaka ya karibuni hakuna mateso makubwa kwa Yanga toka Simba, kinachoonekana Yanga imeshinda derby ya mwisho huku wachezaji wake wakiwa na fatigue, sasa mechi ijayo Yanga watakuwa fit na kichapo heavy kitaendelea.

Ni kama imeanza kukubalika Simba kupigwa na Yanga kama ngoma kila derby. Siku Simba wakijitutumua na kupata japo droo itakuwa story kubwa sana Africa mashariki!!

Nionavyo Mimi hawa Simba watapigwa mechi kumi 10 za kkoo derby bila majibu.
 
Kwenye ligi msimu huu bingwa atapatikana kwa kufungana giants pekee hivyo yanga lazima awafunge wote Simba na Azam
Lakini yanga anataka na kombe la crdb ambako huko Nako kikwazo ni Simba kwa hiyo wakikutana atamfunga tena roughly Simba atafungwa mara nne msimu huu
 
Back
Top Bottom