Simba yangu ina watu wapumbavu sana hawaamini kuwa mpira unahitaji kasi.Mdiye aliyemfanya onana aonekane hana madhara, pia upande wa kushoto kuna jamaa alikua anapokonya mipira miguuni mwa wachezaji wa simba na kuzima mashambulizi anaitwa nani yule
Huu ndio upumbavu unaotugharimu Simba maana tuna wachezaji wanaojikuta hawana nguvu na kujidanganya wanatumia akiliMbio na nguvu pekee havitoshi tena kwa kukamia mechi.... Aongeze maarifa na ufundi atafika levo za hao unaejaribu kumfananisha nae
Naunga mkono hoja.Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.
Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri mjinga tu kwake halaf ana kimo cha boli, lakini eti AFCON ameenda Lusajo, naamini Kijiri akichezea Simba au Yanga hawezi kukosa Stars, never.
Simba, nawaomba kabla dirisha halijafungwa huyu mtu anatosha kabisa mbavu ya kulia, mpelekeni Duchu kwa mkopo huko.Msiseme sikuwaambia.
Wale Singida kufungwa na Simba tena mwisho ni ktk michuano ya mapinduzi.Kweli kabisa. Hata Mimi Jana nilijiuliza Hilo swali, mbona Singida Wana squad Kali kuliko Simba? Simba usajili wao wanafanyaje?.
Sawa endelea kuamini huo upupu wako...Huu ndio upumbavu unaotugharimu Simba maana tuna wachezaji wanaojikuta hawana nguvu na kujidanganya wanatumia akili
Kwamba anamzidi Yao Yao hapo nakataa. Ila kwa Wachezaji wa Kitanzania kwenye ubavu wa kulia anaongoza. Inabidi afanyie kazi control na accuracy kwenye kupiga cross na kufunga mabao.Kijiri binafsi nimemfatilia mechi nyingi tu dogo yuko vzr , anza kumfanyia scouting
Kumzidi Yao badoKwamba anamzidi Yao Yao hapo nakataa. Ila kwa Wachezaji wa Kitanzania kwenye ubavu wa kulia anaongoza. Inabidi afanyie kazi control na accuracy kwenye kupiga cross na kufunga mabao.
Eti haya ma mapinduzi kapu hayana mahindi wa tatu? Mbona kama nasikia Singida ishaondoka zenji, plz Kwa ambaye anajua, anijuze nijue kama haya mashindano ni kufurahisha sherehe au ni serious, CAF, FIFA wanajua?Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.
Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri mjinga tu kwake halaf ana kimo cha boli, lakini eti AFCON ameenda Lusajo, naamini Kijiri akichezea Simba au Yanga hawezi kukosa Stars, never.
Simba, nawaomba kabla dirisha halijafungwa huyu mtu anatosha kabisa mbavu ya kulia, mpelekeni Duchu kwa mkopo huko.Msiseme sikuwaambia.
Hayana mshindi wa tatuEti haya ma mapinduzi kapu hayana mahindi wa tatu? Mbona kama nasikia Singida ishaondoka zenji, plz Kwa ambaye anajua, anijuze nijue kama haya mashindano ni kufurahisha sherehe au ni serious, CAF, FIFA wanajua?