Simba yangu ina watu wapumbavu sana hawaamini kuwa mpira unahitaji kasi.Mdiye aliyemfanya onana aonekane hana madhara, pia upande wa kushoto kuna jamaa alikua anapokonya mipira miguuni mwa wachezaji wa simba na kuzima mashambulizi anaitwa nani yule
Simba huwa hawawezi kufunga magoli ya counter attack kwa sababu wana wachezaji fulani wanaosubiri kupiga chenga mabeki na wanataka wafunge wakiwa wamesimama.Hiki kitu sikipendi kabisa,watu kujikuwa wao ni kina Ronaldo