Ila yule Kevin Kijiri beki wa kulia Singida Fountain alistahili kabisa kuwepo AFCON

Ila yule Kevin Kijiri beki wa kulia Singida Fountain alistahili kabisa kuwepo AFCON

Mdiye aliyemfanya onana aonekane hana madhara, pia upande wa kushoto kuna jamaa alikua anapokonya mipira miguuni mwa wachezaji wa simba na kuzima mashambulizi anaitwa nani yule
Simba yangu ina watu wapumbavu sana hawaamini kuwa mpira unahitaji kasi.

Simba huwa hawawezi kufunga magoli ya counter attack kwa sababu wana wachezaji fulani wanaosubiri kupiga chenga mabeki na wanataka wafunge wakiwa wamesimama.Hiki kitu sikipendi kabisa,watu kujikuwa wao ni kina Ronaldo
 
Mbio na nguvu pekee havitoshi tena kwa kukamia mechi.... Aongeze maarifa na ufundi atafika levo za hao unaejaribu kumfananisha nae
Huu ndio upumbavu unaotugharimu Simba maana tuna wachezaji wanaojikuta hawana nguvu na kujidanganya wanatumia akili
 
Huyu mwamba watu wengi wamemjua zaidi Singida especially mechi ya juzi na simba... Ukweli ni kwamba huyu mwamba anawasha moto toka yuko kmc... Huwa haitwi timu ya taifa kwa sababu hachezi Simba na Yanga.
 
Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.

Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri mjinga tu kwake halaf ana kimo cha boli, lakini eti AFCON ameenda Lusajo, naamini Kijiri akichezea Simba au Yanga hawezi kukosa Stars, never.

Simba, nawaomba kabla dirisha halijafungwa huyu mtu anatosha kabisa mbavu ya kulia, mpelekeni Duchu kwa mkopo huko.Msiseme sikuwaambia.
Naunga mkono hoja.
 
Kweli kabisa. Hata Mimi Jana nilijiuliza Hilo swali, mbona Singida Wana squad Kali kuliko Simba? Simba usajili wao wanafanyaje?.
Wale Singida kufungwa na Simba tena mwisho ni ktk michuano ya mapinduzi.
 
Acheni upuuuzi nyie Watopolo. Simba ndiye Bingwa wa Ngao ya Jamiii na sasa Simba ndiye Finalist wa Mapinduzi, Simba anaenda kutinga Robo Fainali ya CAF Cha ajabu kuna Mapimbi wanaendelea kuibeza Simba. Endeleeni na roho mbaya zenu nyie kina MWAKAROBO WA KIZIMKAZI
 
Kelvin kijiri na yahaya mbegu walistahili kuwa national team tatizo hawana mawakala.
 
Kijiri pumzi kabati
Kifua bahari alifanya onana aonekane kama wema sepetu
 
Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.

Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri mjinga tu kwake halaf ana kimo cha boli, lakini eti AFCON ameenda Lusajo, naamini Kijiri akichezea Simba au Yanga hawezi kukosa Stars, never.

Simba, nawaomba kabla dirisha halijafungwa huyu mtu anatosha kabisa mbavu ya kulia, mpelekeni Duchu kwa mkopo huko.Msiseme sikuwaambia.
Eti haya ma mapinduzi kapu hayana mahindi wa tatu? Mbona kama nasikia Singida ishaondoka zenji, plz Kwa ambaye anajua, anijuze nijue kama haya mashindano ni kufurahisha sherehe au ni serious, CAF, FIFA wanajua?
 
Hayana mshindi wa tatu
 
Back
Top Bottom