Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

Nani atakubali kubaki hospital kwa hotuba ya president wa ziko la Tanzania ya jana, madoctor na manesi hawawezi kurisk wakati mkuu hana time.......acha twende tu Hivyo hivyo.......we're Dona kantri
 
Itapendeza serikali ikijichunguza ilipokosea... Lazima kuna sababu ya msingi watu wanaona bora kujitibu wenyewe kuliko hospitali.
 
Failed president ever.................Akamatwa arejeshwe Dar mara moja aje kuchapa kazi
Dar tena? Huyo alistahili Dodoma Bungeni na kusomewa kusudio la kumtoa madarakani kisha anastep down na kumuachia mama.
Haya yanayotokea sasa ni ya aina yake duniani na sio ya kuchekea tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar tena? Huyo alistahili Dodoma Bungeni na kusomewa kusudio la kumtoa madarakani kisha anastep down na kumuachia mama.
Haya yanayotokea sasa ni ya aina yake duniani na sio ya kuchekea tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inatucheka sana kuwa na mtu km huyu............Hafai hata kuongoza kijiji labda kuchunga ng'ombe......
ANABOA SANA JAMAA YAANI
 
ubaki ufe..bora ukajitibu kwa namna ambayo unaijua mwenyewe ..huduma zenyewe mbovu za afya nchini , hela mlikua mnanunua ndege, acheni ndege sasa ziondoe kolona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sophia simba anaficha ukweli
Ukweli ni huu hapa
Jana kuna mwanamke amefariki katika wodi ya corona

Madaktari na wauguzi awataki kuchukua ile maiti
Maiti imeshinda wodini kutwa nzima ya jana
Ikabidi wagonjwa wakaichukua ile maiti mbaka ofisi ya madaktari
Wakasema wagonjwa kama nyie Mnaona kukaa na maiti sio kesi kaeni nayo nyie

Madaktari, manesi na wauguzi pamoja na mapolisi wote kwa pamoja wakatoka nduli kila mtu na njia yake

Ndio sasa vurugu zikaanzia hapo wagonjwa wakavunja mageti wakarusha mawe

Kufika usiku ndio huduma zikarejea na wagonjwa wakaombwa msamaha
Hiyo ndio hali halisi ya Amana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujifukiza kunahusika hapo, Muda sio mrefu mabeseni na masufuria yataadimika, Hii nchi itageuka ya kichekesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mzee tujifukize
tapatalk_1587594727720.jpg
 
Back
Top Bottom