Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Wamesikia jungu na uvumba vinatibu.Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani.
Dar tena? Huyo alistahili Dodoma Bungeni na kusomewa kusudio la kumtoa madarakani kisha anastep down na kumuachia mama.Failed president ever.................Akamatwa arejeshwe Dar mara moja aje kuchapa kazi
Dogo unafikiri hata kungekuwa na ''huduma nzuri'' wangependa kukaa hospitali?Maana yake huduma mbovu
Dunia inatucheka sana kuwa na mtu km huyu............Hafai hata kuongoza kijiji labda kuchunga ng'ombe......Dar tena? Huyo alistahili Dodoma Bungeni na kusomewa kusudio la kumtoa madarakani kisha anastep down na kumuachia mama.
Haya yanayotokea sasa ni ya aina yake duniani na sio ya kuchekea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wagonjwa wa kawaida sio waliamishwa hapo kwa ajili ya kupisha wagonjwa wa Corona ?Ni wagonjwa wa kawaida au wa corona maana ni wa corona hii ni hatari
Assume baadhi ya hao wagonjwa wapande mabasi kwenda kwa waganga huko mikoani au kutambika mizimu, rate ya spread itakuwaje?
Tuna tatizo la uongozi katika nchi hii
mkuu siku hizi una uwezo wa kubadilisha kichwa cha habari cha member bila shida badilisha tukichwa cha Habari kinapotosha....! Maelezo ya uzi hayana utoro wa wagonjwa.
Kubwa Mno. Hiki ndo Kipindi Ambacho Jeshi linatakiwa kuongoza nchiAssume baadhi ya hao wagonjwa wapande mabasi kwenda kwa waganga huko mikoani au kutambika mizimu, rate ya spread itakuwaje?
Tuna tatizo la uongozi katika nchi hii
Karibu mzee tujifukizeKujifukiza kunahusika hapo, Muda sio mrefu mabeseni na masufuria yataadimika, Hii nchi itageuka ya kichekesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo gani...ebu acheni kua mawakala wa mabeberuAssume baadhi ya hao wagonjwa wapande mabasi kwenda kwa waganga huko mikoani au kutambika mizimu, rate ya spread itakuwaje?
Tuna tatizo la uongozi katika nchi hii
Sasa kama unamwa na unapewa huduma nzuri ili upone kwanini usikae,. Kwamba ukimbie huduma Nzuri uende kusiko na huduma?dogo unafikiri hata kungekuwa na ''huduma nzuri'' wangependa kukaa hospitali?
Swali la kujiuliza wameondoka au wametoroka kwa sababu gani?Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi Sophia Simba amesema kuwa
Anasema watu wakajifukize, mara ooo corona itazoeleka na mwili utajenga immunity loooo.Dar tena? Huyo alistahili Dodoma Bungeni na kusomewa kusudio la kumtoa madarakani kisha anastep down na kumuachia mama.
Haya yanayotokea sasa ni ya aina yake duniani na sio ya kuchekea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app