Wajumbe
Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado hatujafika au wamecopy na kupaste ya 2015 😁😁😁😁 ) kwa kuongeza ajira zaidi ya MILIONI 8 ( 1,2,3 .... 8000001+ 🙄 )
EMBU CCM tuelezeni kwanza kwa miaka 5 mliyopewa mmezalisha ajira ngapi ( sio viwanda uchwara ) na kupoteza ajira ngapi , halafu hii twit hapa chini inamaana tuliingizwa choo cha kike .?
Ukisoma ukurasa wa tano, una kipengele kinasema watatengeza ajira milioni 8, ila ukija ukurasa wa 8 ambao unaelezea kwa kirefu kipengele cha ukurasa wa tano, kinasema watatengeneza ajira milion 7, hizi ajira milion 1 zimeenda wapi.
Hi inaonyesha ni jinsi gani tunadanganywa kwenye hii sekta ya ajira na CCM, Bashiru na jopo lako hapo lumumba mlikua mnaharaka gani wakati wa ku-type.
Hata hii ilani yenyewe sidhani kama kuna watu walikaa wakaipitia kuhakiki kama kilichoondikwa ndani kinajitosheleza. imejaa makosa kibao
Mataga kazi kwenu kutetea