Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Wajumbe

Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado hatujafika au wamecopy na kupaste ya 2015 😁😁😁😁 ) kwa kuongeza ajira zaidi ya MILIONI 8 ( 1,2,3 .... 8000001+ 🙄 )
waKat.png
EMBU CCM tuelezeni kwanza kwa miaka 5 mliyopewa mmezalisha ajira ngapi ( sio viwanda uchwara ) na kupoteza ajira ngapi , halafu hii twit hapa chini inamaana tuliingizwa choo cha kike .?

Kwanza Tanzania haijajitangaza yenyewe kwamba imeingia katika uchumi wa kati, ni Benki ya Dunia ndiyo iliyoitangaza. Na Rais Dkt. Magufuli aliandika kupitia Twitter kuishukuru Benki ya Dunia kwa kuitangaza nchi yetu kuingia katika uchumi wa kati. Mpaka hapo jifunze kuandika kwa utulivu pasipo kiherehere, alimradi uwafurahishe wajinga wenzako.

Kabla hujaanza kulalamikia ajira huna budi kufanya utafiti kuweza kujiridhizisha kwamba hili ni tatizo la hapa kwetu Tanzania au na mahala pengine Duniani kote? Kilio cha ajira ni cha vijana waliopo Duniani kote na hii imesababishwa na kukua kwa kasi sana katika nyanja za sayansi na teknolojia. Na ndio maana hata kibaraka chenu Lisu analifahamu jambo hilo, na ndio maana hata kwenye kampeni yake mbagala hakusema ataleta ajira Ila ni kubadili mfumo wa elimu ambao utawawezesha vijana wasomi waweze kujiajiri. Ndio kusema alikuwa anakubaliana na tatizo la ajira kwa vijana Duniani, na Tanzania ikiwemo katika namna yake hiyo. Na ukweli huo ni mabadiliko ya kukua kwa kasi sayansi na teknolojia.

Hata hivyo serikali ya CCM imekuwa katika hatua mbalimbali za kubadili mfumo wa elimu ili kuwawezesha vijana kuweza kujiajiri lakini pia kuweka mazingira ya kuwasaidia vijana wanawake na walemavu katika kuwezesha mitaji ambayo itawafaa katika kujiajiri kwao. Pia, serikali kupitia wizara ya elimu imeweza kuboresha shule za ufundi stadi ili kuweza kumudahili vijana wengi zaidi na pia kurasimisha ujuzi wa vijana ambao hawakupata katika mfumo rasmi kwa lengo hilo la kuondoa tatizo la ajira kwa vijana kwa kuwapa nafasi vijana kuweza kujiajiri na kuwaajiri wenzao.

Na hizo ajira milioni 8 ni kwamba zitaongezeka kufikia hapo kutoka ajira milioni 3 ambazo zimepatikana mpaka sasa kupitia miradi mbalimbali ya kiserikali. Ajira hizo ni zile zisizo rasmi na zile zilizo rasmi, ambapo binafsi nimeshuhudia kijana aliyefanya kazi hizo katika mradi wa SGR, baada ya kupata fedha zake aliachana na kazi hizo na sasa amefunguka stationery yake mjini kondoa. Kwa hiyo kupitia miradi hiyo vijana wanapata fedha za mitaji ya kuendesha biashara zao, na hivyo ndivyo hitaji la serikali ya CCM kwamba kupitia miradi vijana wataajiriwa na hatimaye kuweza kupata mitaji ya kujiajiri. Mapambano dhidi ya ukosefu kwa ajira kwa vijana, serikali ya CCM imeamua kupambana nayo katika namna hizo.
 
Maelezo mengi lakini nakuona unayumba yumba tu
 
Gazeti kama la msiba,utopolo tupu utakua mdogo wa polepole.ccm hakuna mwenye nafuu
 
Wajumbe
Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado hatujafika au wamecopy na kupaste ya 2015 😁😁😁😁 ) kwa kuongeza ajira zaidi ya MILIONI 8 ( 1,2,3 .... 8000001+ 🙄 )

View attachment 1554766

EMBU CCM tuelezeni kwanza kwa miaka 5 mliyopewa mmezalisha ajira ngapi ( sio viwanda uchwara ) na kupoteza ajira ngapi , halafu hii twit hapa chini inamaana tuliingizwa choo cha kike .?

ni taahira tu atakaye waamini ccm ikiwa miaka 60 mumeshindwa mutaweza 5 miaka mitano
 
Kwanza Tanzania haijajitangaza yenyewe kwamba imeingia katika uchumi wa kati, ni Benki ya Dunia ndiyo iliyoitangaza. Na Rais Dkt. Magufuli aliandika kupitia Twitter kuishukuru Benki ya Dunia kwa kuitangaza nchi yetu kuingia katika uchumi wa kati. Mpaka hapo jifunze kuandika kwa utulivu pasipo kiherehere, alimradi uwafurahishe wajinga wenzako.

Kabla hujaanza kulalamikia ajira huna budi kufanya utafiti kuweza kujiridhizisha kwamba hili ni tatizo la hapa kwetu Tanzania au na mahala pengine Duniani kote? Kilio cha ajira ni cha vijana waliopo Duniani kote na hii imesababishwa na kukua kwa kasi sana katika nyanja za sayansi na teknolojia. Na ndio maana hata kibaraka chenu Lisu analifahamu jambo hilo, na ndio maana hata kwenye kampeni yake mbagala hakusema ataleta ajira Ila ni kubadili mfumo wa elimu ambao utawawezesha vijana wasomi waweze kujiajiri. Ndio kusema alikuwa anakubaliana na tatizo la ajira kwa vijana Duniani, na Tanzania ikiwemo katika namna yake hiyo. Na ukweli huo ni mabadiliko ya kukua kwa kasi sayansi na teknolojia.

Hata hivyo serikali ya CCM imekuwa katika hatua mbalimbali za kubadili mfumo wa elimu ili kuwawezesha vijana kuweza kujiajiri lakini pia kuweka mazingira ya kuwasaidia vijana wanawake na walemavu katika kuwezesha mitaji ambayo itawafaa katika kujiajiri kwao. Pia, serikali kupitia wizara ya elimu imeweza kuboresha shule za ufundi stadi ili kuweza kumudahili vijana wengi zaidi na pia kurasimisha ujuzi wa vijana ambao hawakupata katika mfumo rasmi kwa lengo hilo la kuondoa tatizo la ajira kwa vijana kwa kuwapa nafasi vijana kuweza kujiajiri na kuwaajiri wenzao.

Na hizo ajira milioni 8 ni kwamba zitaongezeka kufikia hapo kutoka ajira milioni 3 ambazo zimepatikana mpaka sasa kupitia miradi mbalimbali ya kiserikali. Ajira hizo ni zile zisizo rasmi na zile zilizo rasmi, ambapo binafsi nimeshuhudia kijana aliyefanya kazi hizo katika mradi wa SGR, baada ya kupata fedha zake aliachana na kazi hizo na sasa amefunguka stationery yake mjini kondoa. Kwa hiyo kupitia miradi hiyo vijana wanapata fedha za mitaji ya kuendesha biashara zao, na hivyo ndivyo hitaji la serikali ya CCM kwamba kupitia miradi vijana wataajiriwa na hatimaye kuweza kupata mitaji ya kujiajiri. Mapambano dhidi ya ukosefu kwa ajira kwa vijana, serikali ya CCM imeamua kupambana nayo katika namna hizo.
mnapata shida sana kutetea
 
Sema ulikimbia shule uchumi wa kati ina madaraja uchumi wa kati daraja la kwanza uchumi kati daraja la kativna uchumi wa kati daraja la juu .ukitoka kwenye uchumi wa kati daraja la kati juu unaingia uchumi wa daraja la kwanza .sisi tupo uchumi daraja la kati la kwanza.

Shule ni muhimu bwashee
miaka mitano ccm yetu imezalisha ajira ngapi ?
 
Kwanza Tanzania haijajitangaza yenyewe kwamba imeingia katika uchumi wa kati, ni Benki ya Dunia ndiyo iliyoitangaza. Na Rais Dkt. Magufuli aliandika kupitia Twitter kuishukuru Benki ya Dunia kwa kuitangaza nchi yetu kuingia katika uchumi wa kati. Mpaka hapo jifunze kuandika kwa utulivu pasipo kiherehere, alimradi uwafurahishe wajinga wenzako.

Kabla hujaanza kulalamikia ajira huna budi kufanya utafiti kuweza kujiridhizisha kwamba hili ni tatizo la hapa kwetu Tanzania au na mahala pengine Duniani kote? Kilio cha ajira ni cha vijana waliopo Duniani kote na hii imesababishwa na kukua kwa kasi sana katika nyanja za sayansi na teknolojia. Na ndio maana hata kibaraka chenu Lisu analifahamu jambo hilo, na ndio maana hata kwenye kampeni yake mbagala hakusema ataleta ajira Ila ni kubadili mfumo wa elimu ambao utawawezesha vijana wasomi waweze kujiajiri. Ndio kusema alikuwa anakubaliana na tatizo la ajira kwa vijana Duniani, na Tanzania ikiwemo katika namna yake hiyo. Na ukweli huo ni mabadiliko ya kukua kwa kasi sayansi na teknolojia.

Hata hivyo serikali ya CCM imekuwa katika hatua mbalimbali za kubadili mfumo wa elimu ili kuwawezesha vijana kuweza kujiajiri lakini pia kuweka mazingira ya kuwasaidia vijana wanawake na walemavu katika kuwezesha mitaji ambayo itawafaa katika kujiajiri kwao. Pia, serikali kupitia wizara ya elimu imeweza kuboresha shule za ufundi stadi ili kuweza kumudahili vijana wengi zaidi na pia kurasimisha ujuzi wa vijana ambao hawakupata katika mfumo rasmi kwa lengo hilo la kuondoa tatizo la ajira kwa vijana kwa kuwapa nafasi vijana kuweza kujiajiri na kuwaajiri wenzao.

Na hizo ajira milioni 8 ni kwamba zitaongezeka kufikia hapo kutoka ajira milioni 3 ambazo zimepatikana mpaka sasa kupitia miradi mbalimbali ya kiserikali. Ajira hizo ni zile zisizo rasmi na zile zilizo rasmi, ambapo binafsi nimeshuhudia kijana aliyefanya kazi hizo katika mradi wa SGR, baada ya kupata fedha zake aliachana na kazi hizo na sasa amefunguka stationery yake mjini kondoa. Kwa hiyo kupitia miradi hiyo vijana wanapata fedha za mitaji ya kuendesha biashara zao, na hivyo ndivyo hitaji la serikali ya CCM kwamba kupitia miradi vijana wataajiriwa na hatimaye kuweza kupata mitaji ya kujiajiri. Mapambano dhidi ya ukosefu kwa ajira kwa vijana, serikali ya CCM imeamua kupambana nayo katika namna hizo.
Hao hapo kwny malori sidhani hata kama kuna mmoja mwenye ajira hapo.
JamiiForums-879927817_641x534.jpg
 
Wajumbe,
Naendelea kusoma ilani ya chama cha mapinduzi
Ukisoma ukurasa wa tano, una kipengele kinasema watatengeza ajira milioni 8, ila ukija ukurasa wa 8 ambao unaelezea kwa kirefu kipengele cha ukurasa wa tano, kinasema watatengeneza ajira milion 7, hizi ajira milion 1 zimeenda.

Hi inaonyesha ni jinsi gani tunadanganywa kwenye hii sekta ya ajira na CCM, Bashiru na jopo lako hapo lumumba mlikua mnahara gani wakati wa ku-type.

Hata hii ilani yenyewe sidhani kama kuna watu walikaa wakaipitia kuhakiki kama kilichoondikwa ndani kinajitosheleza. imejaa makosa kibao

View attachment 1554811 View attachment 1554814

Mataga kazi kwenu kutetea
Mkuu naomba unisaidie hio ilani na mimi.
 
Utaumiza kichwa chako bure.Hapo ni mwendo wa kucopy na kupaste kutoka za uko nyuma.zinabadilishwa tu takwimu namaneno kidogo.Nakuhakikishia Hakuna jipya utakalolikuta umo.
Wajumbe,
Naendelea kusoma ilani ya chama cha mapinduzi
Ukisoma ukurasa wa tano, una kipengele kinasema watatengeza ajira milioni 8, ila ukija ukurasa wa 8 ambao unaelezea kwa kirefu kipengele cha ukurasa wa tano, kinasema watatengeneza ajira milion 7, hizi ajira milion 1 zimeenda.

Hi inaonyesha ni jinsi gani tunadanganywa kwenye hii sekta ya ajira na CCM, Bashiru na jopo lako hapo lumumba mlikua mnahara gani wakati wa ku-type.

Hata hii ilani yenyewe sidhani kama kuna watu walikaa wakaipitia kuhakiki kama kilichoondikwa ndani kinajitosheleza. imejaa makosa kibao

View attachment 1554811 View attachment 1554814

Mataga kazi kwenu kutetea
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Urais, Dr. Magufuli amekuwa akijibanza katika yale anayoyaita mafanikio. Huzungumzia hasa ujenzi wa miundombinu kama reli, bwawa la umeme, barabara, madaraja, zahanati na kadhalika kwa miaka yake mitano ya awamu ya kwanza.

Nilitegemea, kama Mwanasiasa mbobezi, angezungumzia mambo aliyofanikiwa na yale aliyoteleza/ hakufanikiwa. Halafu, angeeleza ni vipi atarekebisha aliposhindwa katika miaka mitano ijayo. Yeye anang'ang'ania tu aliyoyatekeleza kwa 'mafanikio'.

Yapo mambo ya ajira kwa vijana;mikopo ya elimu ya juu ya urejeshaji wake; mishahara na madaraja kwa watumishi wa umma na kadhalika kama changamoto. Kwangu mimi, katika hayo, Serikali yake imeshindwa vibaya. Hapo anasemaje na amejipangaje kwa miaka mitano ijayo?

Kutajataja mambo yale yale kila sehemu ni kuishiwa hoja. Ni kukosa jipya. Kutokuwa na hoja na jipya, kwanini uchaguliwe tena?
Wenye akili watamkataa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kigoma)
 
Back
Top Bottom