Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Wajumbe
Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado hatujafika au wamecopy na kupaste ya 2015 😁😁😁😁 ) kwa kuongeza ajira zaidi ya MILIONI 8 ( 1,2,3 .... 8000001+ 🙄 )....
Miaka 59 imetosha
Delete ccm Oct 28
 
Wajumbe,
Naendelea kusoma ilani ya chama cha mapinduzi
Ukisoma ukurasa wa tano, una kipengele kinasema watatengeza ajira milioni 8, ila ukija ukurasa wa 8 ambao unaelezea kwa kirefu kipengele cha ukurasa wa tano, kinasema watatengeneza ajira milion 7, hizi ajira milion 1 zimeenda.

Hi inaonyesha ni jinsi gani tunadanganywa kwenye hii sekta ya ajira na CCM, Bashiru na jopo lako hapo lumumba mlikua mnahara gani wakati wa ku-type.

Hata hii ilani yenyewe sidhani kama kuna watu walikaa wakaipitia kuhakiki kama kilichoondikwa ndani kinajitosheleza. imejaa makosa kibao

2504092_waKat.png
ajira.png

Mataga kazi kwenu kutetea
 
Kukiwa na mipango mizuri ya kiuchumi inawezekana, issue ni je hiyo mipango ipo?
 
Kukiwa na mipango mizuri ya kiuchumi inawezekana, issue ni je hiyo mipango ipo?
Huu ni uongo, iweje kipengele kimoja kiongee mambo mawili tofauti, title ilitakiwa kuwa moja sio kama invyonekana hapo juu
 
Wajumbe,
Naendelea kusoma ilani ya chama cha mapinduzi
Ukisoma ukurasa wa tano, una kipengele kinasema watatengeza ajira milioni 8, ila ukija ukurasa wa 8 ambao unaelezea kwa kirefu kipengele cha ukurasa wa tano, kinasema watatengeneza ajira milion 7, hizi ajira milion 1 zimeenda....
Wameshazoea kudanganya kwenye elimu, afya na uchumi. Kudanganya ni sawa na kula nyama ya mtu ukishaanza huwezi kuacha mpaka uachishwe.
 
Shida imefika hatua CCM kwa vile wana dola basi wanatuona mazwazwa.

Kila kitu wanabumba tu.
 
Sema ulikimbia shule uchumi wa kati ina madaraja uchumi wa kati daraja la kwanza uchumi kati daraja la kativna uchumi wa kati daraja la juu .ukitoka kwenye uchumi wa kati daraja la kati juu unaingia uchumi wa daraja la kwanza .sisi tupo uchumi daraja la kati la kwanza.

Shule ni muhimu bwashee
Hakuna mpya
 
Daraja la kati la kwanza umetumia takwimu zp kuielezea tanzania?kwa hiyo tuko Karibu kuingia kwenye nchi zilizoendelea kiuchumi like United States?manake tupo level ya sweden,Norway,south korea?Hzi ni ndoto za 500+ years to come
 
Back
Top Bottom