Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Mimi tatizo ambalo huyu jamaa hana na kiongozi inabidi awe nalo ni Diplomasia na kutokuwa na Ubabe, (quality za huyu Bwana zinamfaa Mtendaji kama Waziri Mkuu), In president tunahitaji mtu wa kutuunganisha na sio kutugawa, mtu ambaye ataondoa taswira kwamba baadhi wanaonewa, mtu wa kuweka a level playing field, Hayo Maendeleo hata Mkoloni aliyaleta.
 
Sitegemei walemavu wa akili wenye mtindio wa Ubongo kuelewa neema ya Mungu alivyo wapenda Watu wake Watanzania na kuwapa kupitia Kiongozi huyu JPM.

Tuendelee kuomba uponyaji kwa walemavu hawa wa akili pengine siku moja nao watapata kuitambua hii neema ya Mungu.
 
Kuna Watu wengine huwa nawaza kwanini tu CORONA 'haikuondoka' nanyi kwani mnatuthibitishia kabisa kuwa hamna faida ya kuwepo Ulimwenguni kwakuwa Vichwani mwenu hakuna Tija na Madini ya Kuisaidia Tanzania Kimaendeleo.

Yaani Kampeni hazina hata Siku Saba ( 7 ) na zipo kwa Siku 62 halafu bado unataka 'Kuharakisha' JPM ayaseme yote kwa mara moja. Kampeni za Uchaguzi zina 'Mbinu' zake hasa katika Kuvutia Watu, Kuwapiku 'Kihoja' Wapinzani wako, Kuwasoma na pia kufanya 'Timing' ya uhakika ili Malengo yako yatimie.

Huko Vyuo Vikuu mlienda Kujifunza tu Kujisaficha Mikono baada ya kutoka Haja Kubwa tu au? Mnakera!
 
Back
Top Bottom