Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Wote tulijua hayo mambo ndio atakayotembea nayo kwa kujidanganya na CCM yake kuwa wametekeleza ilani, Wanasahau kuwa waliahidi wananchi kufanya hivyo, na pia kufanya hivyo haikuwa jambo la hisani bali ni wajibu wao wa msingi kabisa! Lakini wenye akili na uelewa wanachoitaji kujua sio kile alichokwisha kifanya bali nini atakifanya na kitagusa vipi maslshi ya walio wengi! Zaidi ya yote kuna miradi mingine aliyotekeleza kwanza haikuwemo kwenye bajeti ya 2015/2016 wala mpango mkakati wa miaka 5 uliokuwa umeandaliwa na serikali ya awamu ya 4, mfano;-

1. Kuhamisha gafla makao makuu toka DSM kwenda Dodoma, Kwa jinsi serikali zilizopita zilivyowekeza katika miundombinu ya jiji la Dsm kulikuwa na haja gani ya kuhamia Dodoma haraka vile? Je uhamaji ule ulifanya analysis ya athari za kiuchumi kwa wananchi na hasa wawekezaji ambao waliwekeza Dsm kwa kuzingatia makao ya serikali?

2. Kujenga miradi na manunuzi ya vitu kama ndege 11 ambavyo havikutengewa bajeti, kumesababisha serikali kujikuta inafanya matumizi ya fedha bila kufuata kanuni za kupata ridhaa ya bunge. Hali hii ndio iliyosababisha serikali ikakosa uwezo wa kuajiri watumishi wapya na hata walioko maofisini wakashindwa kutimiziwa maslahi yao kwa wakati alafu mtu anarudi tena kwa wananchi na kuanza kuwaeleza habari hizoizo, kwa hakika ni wasiojitambua tu ndio watampa kura!
 
Lissu anataja taja risasi tu kila anapopanda kwenye jukaa as if dunia hii yeye pekee ndio alowahi kupigwa risasi, mshauri mgombea wako kwanza na mwambie kuwa Watanzania tumechoka habari zake za mirisasi.
 
Kwa miaka mitano ameminya vyama vya upinzani na kutukosesha Watanzania nafasi ya kula ubwabwa wa Mzee Hashim Rungwe.
 
Hata maendeleo kama ule uwanja wa chato na mbuga ya kutengeneza ya burigi hajaviongelea kabisa wakati vinaweza kumpa kura

Kuna wakati wanyama wetu hapa Tanzania walichukuliwa kupekekwa uarabuni na pakistani kutengenezea mbuga huko. Hili kwa vile mmeshikiwa akili na Lissu na kesha walegeza kama mlenda hamliongelei. Bali mwawaonea husda wenzenu wa Chato
 
Sitegemei walemavu wa akili wenye mtindio wa Ubongo kuelewa neema ya Mungu alivyo wapenda Watu wake Watanzania na kuwapa kupitia Kiongozi huyu JPM.

Tuendelee kuomba uponyaji kwa walemavu hawa wa akili pengine siku moja nao watapata kuitambua hii neema ya Mungu.
Siku zote kichaa huwa anamuona mzima ni kichaa.sikushangai kwa hilo
 
Hakuna jipya, watu wanataka maendeleo yao wamudu gharama za maisha. Mishahara miaka mitano watumishi hawajapandishiwa. Watu hawali ndege na flyover, wanakula chakula
Endelea kukaa tu hapo sebuleni kwa shemeji yako utaletewa chakula mkuu
 
M
Duuuh kwahiyo unasema huyu muuaji katumwa na Mungu kuja kuua wapinzani?

Usinilishe au usiniwekee maneno wewe, chunga heshima yako. Mimi nimesema Mfalme Daudi wa Israeli. Wala Huria Mhiti na uadilifu wake wa bila kutumia akili, acha kupayuka ovyo bila kutumia akili hakukumsaidia kukwepa adhabu ya kifo kwa kushindwa kutii ile amri halali ya mfalme ya kwenda kulala nyumbani kwake. Na waraka ule wenye hukumu ya kifo cha Huria kutoka kwa Mfalme Daudi, Huria Mhiti aliubeba kwa mikono yake kuupeleka sehemu husika ya kuutekeleza.
 
Back
Top Bottom