mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Unauliza waendelee kuwajazia wakati hata mara moja tu hawajaongeza? Mkuu unafikiria kweli hiloKwahiyo waendelee kuwajazia watumishi mishahara tu huko kwingine kusubiri kwanza siyo?
Ungesema kosa la Magufuli ni kutoongeza mishahara kwa nyie mlioajiriwa ambao ni kama asilimia 2 ya watz wote.
Lakini kusema eti kajenga flyover badala ya nyie kuongezewa mishahara unaonekana hoja yako iko butu.
Na kama hii hoja Lisu akiendelea nayo kwenye kampeni atapata kura 2% ya hao wafanyakazi alafu rundo la watu waliojiari na kufaidi matunda ya flyover watampigia JPM.
Mimi sio mtumishi, ila nina ndugu jamaa na marafiki naona hali halisi.
Sawa watumishi unadai ni 2% tu, niambie ni kundi gani la jamii linafurahia sera za awamu ya 5? Wakulima? Wafanyabiashara?