Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Huyu hana lolote nmefuatilia posti zake toka najiunga hapa jf, analetaga hoja za kilamli kama zile za G sam tuUnamfahamu VUTA-NKUVUTE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hana lolote nmefuatilia posti zake toka najiunga hapa jf, analetaga hoja za kilamli kama zile za G sam tuUnamfahamu VUTA-NKUVUTE?
Watu hawali flyovers na ndege mzee. Mmekazania ndege ndegeEndelea kukaa tu hapo sebuleni kwa shemeji yako utaletewa chakula mkuu
Ni Yesu siyo yesu!Kama ambavyo wewe umekabidhi kwa malaika mkuu na yesu wa Lugola,ni kusifu,kupamba na kuabudu.
Chato Ni sehemu ya Tanzania mtanzania yeyote anaweza kuishi, kwahiyo kama pako vizuri kahamie chatoKwa nn hazungumzii uwanja wa ndege wa Chato?
Na mbuga ya wanyama ya Burigi-Chato?
Kwahiyo ulitaka selikali iache kujenga flyover ije kukununulia wewe chakula mkuu?Watu hawali flyovers na ndege mzee. Mmekazania ndege ndege
Huyo labda mungu beelzebuli unayemzungumzia weweSitegemei walemavu wa akili wenye mtindio wa Ubongo kuelewa neema ya Mungu alivyo wapenda Watu wake Watanzania na kuwapa kupitia Kiongozi huyu JPM.
Tuendelee kuomba uponyaji kwa walemavu hawa wa akili pengine siku moja nao watapata kuitambua hii neema ya Mungu.
Mkuu najua unatumiwa weledi wako uliotukuka kutetea lakini majuzi Dodoma alitupa muhtasari, hakuyazungumza hayo licha ya kuwa inawagusa watu wengi zaidi katika jamii. Baada ya kuchaguliwa watu wanaskiliza vipaumbele vyako ni nini japo kampeni bado. Lakini iweje ndege iwe muhimu zaidi maana tumeambiwa kuwa zinakuja zingine 5.Kuna Watu wengine huwa nawaza kwanini tu CORONA 'haikuondoka' nanyi kwani mnatuthibitishia kabisa kuwa hamna faida ya kuwepo Ulimwenguni kwakuwa Vichwani mwenu hakuna Tija na Madini ya Kuisaidia Tanzania Kimaendeleo.
Yaani Kampeni hazina hata Siku Saba ( 7 ) na zipo kwa Siku 62 halafu bado unataka 'Kuharakisha' JPM ayaseme yote kwa mara moja. Kampeni za Uchaguzi zina 'Mbinu' zake hasa katika Kuvutia Watu, Kuwapiku 'Kihoja' Wapinzani wako, Kuwasoma na pia kufanya 'Timing' ya uhakika ili Malengo yako yatimie.
Huko Vyuo Vikuu mlienda Kujifunza tu Kujisaficha Mikono baada ya kutoka Haja Kubwa tu au? Mnakera!
Mtu amehoji kwa nini haongelei,sio kwa nini vipo Chato dada.Kuna wakati wanyama wetu hapa Tanzania walichukuliwa kupekekwa uarabuni na pakistani kutengenezea mbuga huko. Hili kwa vile mmeshikiwa akili na Lissu na kesha walegeza kama mlenda hamliongelei. Bali mwawaonea husda wenzenu wa Chato
Sijasema inunue chakula, hakuna serikali inaweza hilo. Waboreshe maslahi ya watuishi wa umma basi, hakuna anayetaka gari la serikali liwe linapita na wali maharage. Hamuoni hata aibu mnavyowafanyia watumishi? Mkuu mnajitia upofu au ndio ilimradi lakini moyoni unajua uhalisia. Mtumishi hajapanda daraja hilo flyover linamsaidia nini. Hivi una ndugu ambao ni watumishi kweliKwahiyo ulitaka selikali iache kujenga flyover ije kukununulia wewe chakula mkuu?
Watakula risazi zilizobaki mwilini siyoWatu hawali flyovers na ndege mzee. Mmekazania ndege ndege
Humfahamu Mzee Tupatupa (VUTA-NKUVUTE)Lissu anataja taja risasi tu kila anapopanda kwenye jukaa as if dunia hii yeye pekee ndio alowahi kupigwa risasi, mshauri mgombea wako kwanza na mwambie kuwa Watanzania tumechoka habari zake za mirisasi.
Huyo labda mungu beelzebuli unayemzungumzia wewe
Kwahiyo waendelee kuwajazia watumishi mishahara tu huko kwingine kusubiri kwanza siyo?Sijasema inunue chakula, hakuna serikali inaweza hilo. Waboreshe maslahi ya watuishi wa umma basi, hakuna anayetaka gari la serikali liwe linapita na wali maharage
Mtu amehoji kwa nini haongelei,sio kwa nini vipo Chato dada.
Kweli wewe ni mwana CCM. Chama chako kweli kimefanikiwa katika kukufukarisha kiakili,kimwili,kiroho na kiuchumi.