Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Kikubwa umeelewa kwamba jaama yenu alifanya kiki iliajenayo kutia promo ya kuhurumiwaa uraisi kamakifuta machoziiSikujua najibizana na nani kuandika "KULIA" huwezi unaandika "KURIA" ndo maana kumbee
Kwanini walipelekwa na nani aliwapeleka na wakati wanapelekwa vip serikali ya ccm ilikua likizo au?.na je uyu mgombea wa sasa alikua sehemu ya hiyo serikali au?
Waliofanya hivyo ni CCM!Au watawala walikuwa nani?Shwain,piga chini huyu Mobutu Seseko!
Nukuu"mmemuona mama Samia Suluhu?ni mzuri sio mzuri????ni mweupe sio mweupee!!!! anang'aa hang'aii!!!mwisho wa kunukuu. Ndugu wananchi naombeni kura zenu.
Mambo ya msingi ya kutumia upeo wa kawaida unakimbilia kwa Mungu?huyo Mungu hana kazi za msingi?au unafikiri mwanadamu alipewa akili ya nini kama kila kitu anakimbilia kwa Mungu?
Kama ameshindwa unganisha familia yake ndo ataweza taifa check kavunja jumuia ya afrika mashariki tunaelewana na Burundi tu,arusha,moshi,tanga zimejengwa kwa pesa toka Kenya Leo kavuruga mahusiano.hatuwezi endelea kwa kuwa kisiwaMimi tatizo ambalo huyu jamaa hana na kiongozi inabidi awe nalo ni Diplomasia na kutokuwa na Ubabe, (quality za huyu Bwana zinamfaa Mtendaji kama Waziri Mkuu), In president tunahitaji mtu wa kutuunganisha na sio kutugawa, mtu ambaye ataondoa taswira kwamba baadhi wanaonewa, mtu wa kuweka a level playing field, Hayo Maendeleo hata Mkoloni aliyaleta.
Nkajua unafika hafi kwa lissu ili na mm nkujibu vizur au nkusaidie kwa akili zako chache utataka kusema " kwa lissu ilikua mvua ya vyuma toka angani inanyesha na kwa bahati mbaya vikamdondokea"..maliza zote afu nikujibu au kama umemaliza nambie, na utaribu wa kuishia kati kama upo hadi kwenye ndoa yako nadhani shemeji atakuwa kakimbia[emoji23][emoji23]
Hakuna mradi utakaokamilika kwa kutegemea mikopo hali tumefika mwisho wa kukopesheka zaidi atatumia kisingizio cha kukamilika kwa miradi kung'ang'ania madarakani hadi 2040,hata Moro tu bado haijafika wamechimbachimba tuHata hiyo miradi ya ujenzi anaojinasibu kuwa ndo mafanikio yake hakuna hata mmoja uliokamilika na kuleta "impact" katika uchumi.
Walipania SGR segment ya Dar-Moro kimalizika kabla ya uchaguzi wa mwaka huu ili "watulingishie" wapiga kura lakini amechemsha.
Ukweli ni kwamba anatakiwa ajitafakari na kujiridhisha kama ninkweli wapiga kura wanahitaji zaidi miradi yake ya ujenzi au ubora wa maslahi yanayowahusu wao kama raia. Vinginevyo atarajie kushindwa dhidi ya wapinzani wake wanaonadi sera zao juu ya maendeleo ya watu.
Eti huenda na ww una degree eti!ulichoandika n pumba tupu,ss tunataka kiongoz mwenye maono na si wa kualika media na wasanii kumuimba kila kukicha kwa kutumia kodi za walala hoyi,kiuhalisia jiwe hana hoja za kuwaambia watz zaid ya kusema ndege,kuzaana,reli na bwawa la umeme kitu ambacho watz wengi washachpka kuskia,huna jipya we empy mind jipange upya maana mmeshikwa pabayaKuna Watu wengine huwa nawaza kwanini tu CORONA 'haikuondoka' nanyi kwani mnatuthibitishia kabisa kuwa hamna faida ya kuwepo Ulimwenguni kwakuwa Vichwani mwenu hakuna Tija na Madini ya Kuisaidia Tanzania Kimaendeleo.
Yaani Kampeni hazina hata Siku Saba ( 7 ) na zipo kwa Siku 62 halafu bado unataka 'Kuharakisha' JPM ayaseme yote kwa mara moja. Kampeni za Uchaguzi zina 'Mbinu' zake hasa katika Kuvutia Watu, Kuwapiku 'Kihoja' Wapinzani wako, Kuwasoma na pia kufanya 'Timing' ya uhakika ili Malengo yako yatimie.
Huko Vyuo Vikuu mlienda Kujifunza tu Kujisaficha Mikono baada ya kutoka Haja Kubwa tu au? Mnakera!
π πππ May Almighty bless you. Umeongea kama mimi, yani umefanya kuniwahi tu.Mimi tatizo ambalo huyu jamaa hana na kiongozi inabidi awe nalo ni Diplomasia na kutokuwa na Ubabe, (quality za huyu Bwana zinamfaa Mtendaji kama Waziri Mkuu), In president tunahitaji mtu wa kutuunganisha na sio kutugawa, mtu ambaye ataondoa taswira kwamba baadhi wanaonewa, mtu wa kuweka a level playing field, Hayo Maendeleo hata Mkoloni aliyaleta.
Ana kakaratasi anasoma kila aendako.Sasa kama anaongea mambo yaleyale kila anakokwenda kwa nini asifanye mkutano mmoja tu kuliko kuzungusha ule upaa wake.
I seeHata maendeleo kama ule uwanja wa chato na mbuga ya kutengeneza ya burigi hajaviongelea kabisa wakati vinaweza kumpa kura