Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Sikujua najibizana na nani kuandika "KULIA" huwezi unaandika "KURIA" ndo maana kumbee
Kikubwa umeelewa kwamba jaama yenu alifanya kiki iliajenayo kutia promo ya kuhurumiwaa uraisi kamakifuta machozii

Atapata taaabuu saaanaaa
Watanzania sio mazwaa.
 
Kwanini walipelekwa na nani aliwapeleka na wakati wanapelekwa vip serikali ya ccm ilikua likizo au?.na je uyu mgombea wa sasa alikua sehemu ya hiyo serikali au?

Hakuwa Rais alikuwa anatumwa. Bali tuliona Wizara ya Ujenzi na ile ya Kitoweo ambazo alikuwa Waziri zilivyo zibeba kiutendaji awamu ya 3 na ya 4. Marsis Mkapa na Kikwete walitembealea nyota JPM. Kwa njia moja ama nyingine.
 
Magufuli hana jipya kaishiwa sera alitegemea. Ujenzi wa reli na ndege kumbe sio jambo jipya

Uyo ni utopolo tu
 
Mambo ya msingi ya kutumia upeo wa kawaida unakimbilia kwa Mungu?huyo Mungu hana kazi za msingi?au unafikiri mwanadamu alipewa akili ya nini kama kila kitu anakimbilia kwa Mungu?

Mfalme Suleimani mmoja ya wanadamu kuwahi kutokea kuwa na hikima kuliko wote Duniani kazungumzia hili. Mithali 3:5 Mtumani BWANA /MUNGU kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe.

Lissu alivyo na kiburi na majivuno kesha sema yeye hamuachii Mungu mambo yake ie hamhitaji Mungu. Anategemea mabeberu, Robertson na AJEMWADU.
 
Kaka kampeni ngumu!! Fix mpya zitoke wapi tena?
 
Na mgombea wako Liss umesikia jipya lipi hasa mpaka Sasa..Zaid ya kulilia Magu amwonyeshe aliyempiga risasi...hahahaha...Sera hizo za chadema
 
Hiyo reli na bwawa vyenyewe havijafika kokote na speed yake baby steps.

Baada ya uchaguzi October (kama atashinda) kuna uwezekano miradi hii ikasimama kabisaaa pale "mabeberu" watakapopiga pini kutokana na hii engua engua ya wapinzani kwenye uchaguzi.
 
Mimi tatizo ambalo huyu jamaa hana na kiongozi inabidi awe nalo ni Diplomasia na kutokuwa na Ubabe, (quality za huyu Bwana zinamfaa Mtendaji kama Waziri Mkuu), In president tunahitaji mtu wa kutuunganisha na sio kutugawa, mtu ambaye ataondoa taswira kwamba baadhi wanaonewa, mtu wa kuweka a level playing field, Hayo Maendeleo hata Mkoloni aliyaleta.
Kama ameshindwa unganisha familia yake ndo ataweza taifa check kavunja jumuia ya afrika mashariki tunaelewana na Burundi tu,arusha,moshi,tanga zimejengwa kwa pesa toka Kenya Leo kavuruga mahusiano.hatuwezi endelea kwa kuwa kisiwa
 
Nkajua unafika hafi kwa lissu ili na mm nkujibu vizur au nkusaidie kwa akili zako chache utataka kusema " kwa lissu ilikua mvua ya vyuma toka angani inanyesha na kwa bahati mbaya vikamdondokea"..maliza zote afu nikujibu au kama umemaliza nambie, na utaribu wa kuishia kati kama upo hadi kwenye ndoa yako nadhani shemeji atakuwa kakimbia[emoji23][emoji23]

Vidole vyako vina kigugumizi tayari, jiulize kwa nini?
 
Anazuia wakulima kuuza nje kwa kufunga mipaka hali wakati wa kulima ampi msaada mkulima
 
Angebakia kwenye kuhesabu kilometers za barabara na vifaranga vya samaki huku viatu vinapwaya ajui chochote kuhusu uchumi ajui kuwekeza kwenye tija Bali sifa
 
Hata hiyo miradi ya ujenzi anaojinasibu kuwa ndo mafanikio yake hakuna hata mmoja uliokamilika na kuleta "impact" katika uchumi.

Walipania SGR segment ya Dar-Moro kimalizika kabla ya uchaguzi wa mwaka huu ili "watulingishie" wapiga kura lakini amechemsha.

Ukweli ni kwamba anatakiwa ajitafakari na kujiridhisha kama ninkweli wapiga kura wanahitaji zaidi miradi yake ya ujenzi au ubora wa maslahi yanayowahusu wao kama raia. Vinginevyo atarajie kushindwa dhidi ya wapinzani wake wanaonadi sera zao juu ya maendeleo ya watu.
Hakuna mradi utakaokamilika kwa kutegemea mikopo hali tumefika mwisho wa kukopesheka zaidi atatumia kisingizio cha kukamilika kwa miradi kung'ang'ania madarakani hadi 2040,hata Moro tu bado haijafika wamechimbachimba tu
 
S
Kuna Watu wengine huwa nawaza kwanini tu CORONA 'haikuondoka' nanyi kwani mnatuthibitishia kabisa kuwa hamna faida ya kuwepo Ulimwenguni kwakuwa Vichwani mwenu hakuna Tija na Madini ya Kuisaidia Tanzania Kimaendeleo.

Yaani Kampeni hazina hata Siku Saba ( 7 ) na zipo kwa Siku 62 halafu bado unataka 'Kuharakisha' JPM ayaseme yote kwa mara moja. Kampeni za Uchaguzi zina 'Mbinu' zake hasa katika Kuvutia Watu, Kuwapiku 'Kihoja' Wapinzani wako, Kuwasoma na pia kufanya 'Timing' ya uhakika ili Malengo yako yatimie.

Huko Vyuo Vikuu mlienda Kujifunza tu Kujisaficha Mikono baada ya kutoka Haja Kubwa tu au? Mnakera!
Eti huenda na ww una degree eti!ulichoandika n pumba tupu,ss tunataka kiongoz mwenye maono na si wa kualika media na wasanii kumuimba kila kukicha kwa kutumia kodi za walala hoyi,kiuhalisia jiwe hana hoja za kuwaambia watz zaid ya kusema ndege,kuzaana,reli na bwawa la umeme kitu ambacho watz wengi washachpka kuskia,huna jipya we empy mind jipange upya maana mmeshikwa pabaya
 
Mimi tatizo ambalo huyu jamaa hana na kiongozi inabidi awe nalo ni Diplomasia na kutokuwa na Ubabe, (quality za huyu Bwana zinamfaa Mtendaji kama Waziri Mkuu), In president tunahitaji mtu wa kutuunganisha na sio kutugawa, mtu ambaye ataondoa taswira kwamba baadhi wanaonewa, mtu wa kuweka a level playing field, Hayo Maendeleo hata Mkoloni aliyaleta.
🙏 👍🙏👍 May Almighty bless you. Umeongea kama mimi, yani umefanya kuniwahi tu.
 
Mwananchi hana maji,hata yasiyo salama hayapatikani halafu mtu mzima unaenda unamwambia ulinunua ndege.hapo ni sawa na kuongelea changamoto za zao la pamba wakati unaoongea nao ni wakulima wa muhogo.Haimeki sensi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom