Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA kuhusu Bima ya Afya ina ulaghai

Unajua difference kati ya population ya Rwanda na Tanzania?
 

Hivi hukumsikia akichambua Mwanza au ni kujifanya mjuaji. Alichosema kila mtu akiwa na bima obvious demand itakua kubwa hivyo supply side so ni lazima wawekeze kuzipa nguvu vituo vya afya in terms of vifaa na personnel kwahiyo ondoa basis ya Low na High quality bali fikiria standardisation ya huduma ili kuwepo na equal services walau kulingana na uwezo wako.

Usikariri kwamba Bima ikiwa kote basi huduma zinabaki hizi hizi, hyo ni myopic kabisa na sitegemei mtu anayejiita mchambuzi wa ilani ushindwe kuona hilo unless kwenye uchambuzi ungeweka kipengele cha CETERIS PARIBUS!!
 
Unajua difference kati ya population ya Rwanda na Tanzania?
Tumewazidi population zaidi ya mara 6
Lakini vile vile tumewazidi GDP zaidi ya mara 6 sasa tofauti ni ipi?

Familia ina watu 5 inaingiza elfu 5 kwa siku
Na familia yenye watu 10 inaingiza elfu 10 kwa siku ina tofauti gani?

Eti?
 
Sasa unakubali kuwa huduma za afya hazitakuwa bora kuliko za sasa au kulingana na za Ubelgiji.

Post zangu mzitumie kama rejea zitawasaidia huko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…