Ajira zimeanza kuwa tatizo nchi nyingi za Afrika na sio Tanzania pekee.
CDM ambao kila miaka michache wana agiza tshirts toka China, skafu na bendera; ujue hata nao wakiingia hawana jipya.
So far JPM ana chance ya kufanya makubwa, ila ikiwemo kuzalisha ajira kwa kuputia viwanda vinavyochakata mazao ghafi.
Ili mambo haya yatokee, hahitaji kuzungukwa na MATAGA na praise timu pekee; anatakiwa apata access ya watu wanao-stretch ili aone kwenye angle tofauti afanye zaidi.
Bahati mbaya ni ngumu sana kumpata na baadhi ya wasaidizi wake wanambania sana asipatikane.
Ana sifaya kuwa decisive on issues, tumchagueni na kushinikiza red tapes zivunjike ili mtu akiwa na investment project kubwa, Rais awe accessible.
TIC, TIB na EPZA wanachelewesha mambo na hawana power ya kufanya mambo yatokee kama una project iliyo nje ya scope ya policy zao.
Policy za TIC na TIB zahitaji upgraded kuendana na kasi ya JPM.
Tumpeni 5 tena; ila tudai access yake kwa issues ambazo wasaidizi wake hasa mawaziri hawana uwezo kuzifanyia kazi, wengine ni waoga; wengine hawana big picture project investment strategy.