Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimbiwa ligi ni mbichi usichonge sana, nawe ukafanya vile utapigwa tu. Na mimi nasema wapigwe tu maana hamna namna nyingine!Na kweli muzee...
Tanzania Prison 2-1 Simba SCSasa sababu simba imefungwa mechi mbili sasa utasikia mashabiki wa ndalla wanadai yanga imepanda kiwango, hovyo sana!! Ya mbao wakati bado mko nyuma pt 5??
Kesho tunakata point 3,dadadeki.Sasa sababu simba imefungwa mechi mbili sasa utasikia mashabiki wa ndalla wanadai yanga imepanda kiwango, hovyo sana!! Ya mbao wakati bado mko nyuma pt 5??
5-3=2Kesho tunakata point 3,dadadeki.
Bahati yao msimu umeisha,tungemaliza kileleni.5-3=2
Zilikuwa ngapi vile??Sasa sababu simba imefungwa mechi mbili sasa utasikia mashabiki wa ndalla wanadai yanga imepanda kiwango, hovyo sana!! Ya mbao wakati bado mko nyuma pt 5??
Ligi ikianza mikia wanarudi kwenye nafasi ya 8 waliyoizoeaBahati yao msimu umeisha,tungemaliza kileleni.
Jipeni moyo ila pale juu mtafika kwa machoLigi ikianza mikia wanarudi kwenye nafasi ya 8 waliyoizoea
Bila shaka mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ligi ikianza mikia wanarudi kwenye nafasi ya 8 waliyoizoea
Jiongeze kifikra we boya,kutoka utofauti wa pointi 8 hadi 2 hlf bado unaleta ubishi tu!Jipeni moyo ila pale juu mtafika kwa macho
2 pointsSasa sababu simba imefungwa mechi mbili sasa utasikia mashabiki wa ndalla wanadai yanga imepanda kiwango, hovyo sana!! Ya mbao wakati bado mko nyuma pt 5??