Ile baiskeli ya mbao ishaanza kuishiwa upepo

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
13,481
Reaction score
28,116
14dceed7798da0e60dfa7ea676c811c6.jpg
 
Sasa sababu simba imefungwa mechi mbili sasa utasikia mashabiki wa ndalla wanadai yanga imepanda kiwango, hovyo sana!! Ya mbao wakati bado mko nyuma pt 5??
 
Tanzania Prison 2-1 Simba SC
 
Sasa sababu simba imefungwa mechi mbili sasa utasikia mashabiki wa ndalla wanadai yanga imepanda kiwango, hovyo sana!! Ya mbao wakati bado mko nyuma pt 5??
Zilikuwa ngapi vile??
Aakh basi kumbe kuna kale kamsemo kenu ka yanga inabebwa..!!
 
Ndala fc vp kwani nani anaongoza lg..au ndo tuseme kuanzia mmeacha kukodishwa mmekuwa na auheni...yaani puchupuchu na mashabk mngekodishwa na yule mharage aka mhindi...shukurun serikali imewaokoa....
 
Back
Top Bottom