Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Inasemekana ule msemo wa chenye mwanzo kina mwisho umetimia kwa hii couple ya diamondplatnumz na zarithebosslady imevunjika rasmi,chanzo cha mvurugiko huo ni usaliti wa diamondplatnmz
Inasemekana Diamondplatnumz kwa sasa anatoka na queen video wake wa kwenye wimbo wa sheri
kama ilivyotokea kwa hamisa kupost picha akiwa kitandani na dai pale madale,huyu queen video pia kaposti picha zake akiwa na dai kitandani madale,
zari kuona hivyo akaamua kujiweka kando.
Ili kuonyesha hasira zake si ndogo zari kaedit accounts za wanae aliozaa na diamond. Kafuta majina yanayomhusisha diamond