Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Inasemekana ule msemo wa chenye mwanzo kina mwisho umetimia kwa hii couple ya diamondplatnumz na zarithebosslady imevunjika rasmi,chanzo cha mvurugiko huo ni usaliti wa diamondplatnmz

Inasemekana Diamondplatnumz kwa sasa anatoka na queen video wake wa kwenye wimbo wa sheri
22220692_495778960789973_3652548129636483072_n.jpg

22158714_344083819369821_5459488175833481216_n.jpg

kama ilivyotokea kwa hamisa kupost picha akiwa kitandani na dai pale madale,huyu queen video pia kaposti picha zake akiwa na dai kitandani madale,
22280208_179306312632521_1974252245264367616_n.jpg
zari kuona hivyo akaamua kujiweka kando.

Ili kuonyesha hasira zake si ndogo zari kaedit accounts za wanae aliozaa na diamond. Kafuta majina yanayomhusisha diamond
22159145_504386353244210_2676229366639230976_n.jpg

22280344_1800638633561610_5807545243100250112_n.jpg
 
Basi sawa.
Ukisusa wengine twala!
Ngoja nitafute nani amesusa!
 
Jembekillo said:
ni kweli natamani leo kesho waachane nimchukue mimi zari. zile mali za ivan tu ntakula mpaka nakufa
Utakuwa una uwalakini wewe si bure kuanzia avatar yako hadi matendo.......kushobokea Mali za mwanaume mwenzio tena marehemu looh.tena unanena kwa msisitizo
 
Back
Top Bottom