Ile haikuwa back pass bali ni subortage pass!!

Ile haikuwa back pass bali ni subortage pass!!

Huko ni kutokuwa na nidhamu ya mpira.
Wachezaji wengi wa Simba hawana nidhamu ya mpira, wame jifunga na Yanga. Na leo na hata kimataifa.
Kocha ana mapungufu kwani kujifunga kunaendelea
 
hapo golikipa ndiye kavuruga. Huo haukuwa mpira wa kumshinda kwanza ulikuwa umelengwa nje ya goli, golikipa alitakiwa kuutuliza kifuani halafu na augawe mbele, lakini yeye akacheza kama beki na kuu-deflect mpira kwenda golini huku akiwa peke yake wala hakukabwa na mshambulizi yeyote
 
Ataungana na Kelvin kijiri kwenye mbao ndefu mkuu dogo kweli kathibitisha maneno yake kwa vitendo.
 
Mngefunga goli 6 wala msingemlaumu dogo Chasambi

Che Malone tulimsema licha ya kusawazisha na kuongeza.

Che Malone tulimsema licha ya kusawazisha na kunufaika kupata alama 1 iliyotufanya tufuzu kwenda robo.

So hata huyu tungemlaumu pia.
 
Che Malone tulimsema licha ya kusawazisha na kuongeza.

Che Malone tulimsema licha ya kusawazisha na kunufaika kupata alama 1 iliyotufanya tufuzu kwenda robo.

So hata huyu tungemlaumu pia.
Pole
Yanga bingwa
 
Back
Top Bottom