Hakuna hujuma
Makolo wapumbavu kabisaa nyiee
Hamjui mpiraa
Timu lenu bovuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hujuma
Thread 'Wana Simba SC tumetamba vya kutosha huenda kuanzia leo nao Wakatamba kwa kutuacha kwa Alama (Points) Mbili (2)' Wana Simba SC tumetamba vya kutosha huenda kuanzia leo nao Wakatamba kwa kutuacha kwa Alama (Points) Mbili (2)
Wawape Yanga bure kabisa. Wasichukue hata miaChasambi apigwe benchi, dirisha kubwa auzwe.
Sikiliza Mwasibu, hii ni back pass! Ok? Hakuna kitu kinachoitwa subortage pass kwenye mpira wa miguu.
Na lile tukio la Camara kulirejesha uwanjani shuti la Chama lililokuwa likielekea nje, na kusababisha goli! Ilikiwa ni nini ndugu Mwasibu OKW BOBAN SUNZU?Na ya kijili ilikua ni nini?