MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Elewa topicUnawapangia watu🤣
Elewa replyElewa topic
Hao Egypt wana rekodi gani World Cup?walikua ni vilaza tu, overrated players kibao, Walinyanyaswa na Egypt mpaka aibu kabisa.
Duu warabu walipiga Dua...japo miaka mingi imepita....nilijiuliza Kwa mazingira Yale drogba alipaisha vipi ule Mpira....Dunia hii ya maajabu...Nakumbuka ila fainali ya Afcon kati ya Egypt na Ivory coast Drogba anakosa goli hapa na hapa. Pale nikaanza kuhisi wa Misri ni wachawi aseeh.
Hao Egypt wana rekodi gani World Cup?
Nakumbuka ila fainali ya Afcon kati ya Egypt na Ivory coast Drogba anakosa goli hapa na hapa. Pale nikaanza kuhisi wa Misri ni wachawi aseeh.
Miuu Umenikumbusha mbali nilikua darasa la 5 ile fainali misri Walikua home refa anapga filimbi kuanzisha Mpira Kuna jamaa jukwaani nae alianza kusoma kisomo Mpka ile penat ya Mwsho wanapga jamaa ndo alikua anamaliza kusoma hata mm nilihis Egypt WachawiDuu warabu walipiga Dua...japo miaka mingi imepita....nilijiuliza Kwa mazingira Yale drogba alipaisha vipi ule Mpira....Dunia hii ya maajabu...
Nimeuliza Afcon au world cup?Egypt walibeba Afcon mara 3 mfululizo huko hao unaowaita nyota wa Ivory Cost wakila vichapo kwao. hio inatosha kua rekodi ya heshima.
Nani kasema ni jambo la ajabu?kukosa goli kwa Drogba ndio liwe jambo la ajabu?
Kombe la mabara 2008,Egypt vs Brazil.Hao Egypt wana rekodi gani World Cup?
Nimeuliza Afcon au world cup?
😲😲😲 Overrated kivipi?walikua ni vilaza tu, overrated players kibao, Walinyanyaswa na Egypt mpaka aibu kabisa.