😲😲😲 Overrated kivipi?
timu yao ilikua na uwezo wa kawaida sana hata kwa kiwango cha Africa. Egypt na Ghana zilikua miles ahead kwao. Egypt walibeba Afcon mara 3 mfululizo katika kipindi hicho huku Ivory Cost akila kichapo kutoka kwao karibu ya kila mashondano. Ghana walicheza robo final na second round katika world cup mbili mfululizo katika kipindi hicho hicho.