Tutambue kuwa mtu mmoja pekee hawezi wezesha timu kutwa kikombe...wengine wana contribution gani? Hapa tuna samatta lakini kila leo tunalia tuu. Alikuwa mazembe anacheka na nyavu.Ndo maana nasema walihujumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutambue kuwa mtu mmoja pekee hawezi wezesha timu kutwa kikombe...wengine wana contribution gani? Hapa tuna samatta lakini kila leo tunalia tuu. Alikuwa mazembe anacheka na nyavu.Ndo maana nasema walihujumu
Best team everWakuu nimetafakari kwa makini na kujiuliza maswali mengi sana ila binafsi nimeona ni hujuma tu hakuna sababu nyingine. Haiwezekani timu iliyokuwa na wakali wote waliokuwa wanavuma kwenye timu zao za Ulaya ishindwe kufanya la maana kwenye world cup au mashindano mengine makubwa.
Hii Ivory Coast ya kina Didier Drogba, Didier Zokora, Cheikh Tiote, Yaya Toure, Kolo Toure, Solomon Kalou, Gervinho, Emmanuel Eboue, Aruna Dindane, na wakali wengine ilibidi ichunguzwe na kutuondelea mashaka kwamba hawakuwa wakifanya hujuma.
Walikutana na kina nani na walitoa ngapi ngapi world cup ?Wakuu nimetafakari kwa makini na kujiuliza maswali mengi sana ila binafsi nimeona ni hujuma tu hakuna sababu nyingine. Haiwezekani timu iliyokuwa na wakali wote waliokuwa wanavuma kwenye timu zao za Ulaya ishindwe kufanya la maana kwenye world cup au mashindano mengine makubwa.
Hii Ivory Coast ya kina Didier Drogba, Didier Zokora, Cheikh Tiote, Yaya Toure, Kolo Toure, Solomon Kalou, Gervinho, Emmanuel Eboue, Aruna Dindane, na wakali wengine ilibidi ichunguzwe na kutuondelea mashaka kwamba hawakuwa wakifanya hujuma.
Nimekuwekea data unaleta mihemko. Unabishana na facts?
Tutambue kuwa mtu mmoja pekee hawezi wezesha timu kutwa kikombe...wengine wana contribution gani? Hapa tuna samatta lakini kila leo tunalia tuu. Alikuwa mazembe anacheka na nyavu.
Na raisi wa Napoli kashema akisajili mwafrica hakuna kwenda Afcon.Wanatumia mapesa chungu nzima wakiumia wanatelekezewa mizigo.Wahujumu wakubwa wakubwa ni viongozi katika timu za taifa za africa.
Hao hao viongozi leo hii wamemnyima head coach position kolo toure na kumpa mzungu wa miaka 70 kama head coach.
Alisemaga ata samuel kuffo kuwa yeye alivyokuwa yupo bayern alikuwa anathaminiwa kuliko alipokjja kucheza timu ya taifa ambapo ata maji kambini tabu. Huku bayern ukitokewa kwenyenyew mashindano u atumiwa private jet. Sasa wewe hapo unadhani utajituma wapi.
Nigerial watu hawlipi bonuses za kwenda kombe la dunia mpaka mjapan anajitolea huo sii ujinga. Kuna examples nyingi tuu kuonyesha jinsi viongozi wetu wanachangia wachezaji kutokiujituma sana kwenye national team.
Unaweza kuwa na wachezaji bora lakini huna timu bora. Waulize wabrazil kilichowatokea dhidi ya italy.Lakini tunaambiwa kuwa Ivory Cost ilikua ni timu bora yenye wachezaji bora kwenye kila postion. SO hapa kesi ya Samatta haifanani kabisa.
Kama Real Madrid ya RONALDO DE LIMA ilikuwa ya hovyo Kipi kinachokufanya uamini IVORY COAST ya Drogba haikuwa ya hovyo?Real Madrid hiyo ya akina Beckham ilikua ni mdobedwo na ndio mana hawakuchukua vikombe.
Kama Real Madrid ya RONALDO DE LIMA ilikuwa ya hovyo Kipi kinachokufanya uamini IVORY COAST ya Drogba haikuwa ya hovyo?
Ukiwa unapinga uwe na sababu ya kisomi. Timu ambayo first eleven nzima inategemewa huko Ulaya iwe ya hovyo?Mimi naamini Ivory Cost ya akina Drogba ilikua ni timu ya Ovyo, Mleta mada na wenziwe ndio wanaojaribu kutuaminisha kama ilikua timu yenye ubora mkubwa.