π²π²π² Overrated kivipi?
Wahujumu wakubwa wakubwa ni viongozi katika timu za taifa za africa.Wakuu nimetafakari kwa makini na kujiuliza maswali mengi sana ila binafsi nimeona ni hujuma tu hakuna sababu nyingine. Haiwezekani timu iliyokuwa na wakali wote waliokuwa wanavuma kwenye timu zao za Ulaya ishindwe kufanya la maana kwenye world cup au mashindano mengine makubwa.
Hii Ivory Coast ya kina Didier Drogba, Didier Zokora, Cheikh Tiote, Yaya Toure, Kolo Toure, Solomon Kalou, Gervinho, Emmanuel Eboue, Aruna Dindane, na wakali wengine ilibidi ichunguzwe na kutuondelea mashaka kwamba hawakuwa wakifanya hujuma.
Team ndio inaweza kuwa overrated but not those players. They wer quality.timu yao ilikua na uwezo wa kawaida sana hata kwa kiwango cha Africa. Egypt na Ghana zilikua miles ahead kwao. Egypt walibeba Afcon mara 3 mfululizo katika kipindi hicho huku Ivory Cost akila kichapo kutoka kwao karibu ya kila mashondano. Ghana walicheza robo final na second round katika world cup mbili mfululizo katika kipindi hicho hicho.
Mwaka gani Egypt iliinyanyasa IC ya kina Drogba?walikua ni vilaza tu, overrated players kibao, Walinyanyaswa na Egypt mpaka aibu kabisa.
Mwaka gani Egypt iliinyanyasa IC ya kina Drogba?
Ni players waliokua overrated na ndio mana timu ikawa haina kiwango kizuri.Team ndio inaweza kuwa overrated but not those players. They wer quality.
Hujui mpira. Kulikuwa kuna Real Madrid ya Ronaldo de lima, Zidane, Luis Figo, David Beckham lakini hawakuwahi kuchukua Champions league, haya nao waliihujumu Madrid?
Yaani drogba alikuwa overrated mtu yupo starting 11 ya chelsea na anapiga mabao ya kiulayaNi players waliokua overrated na ndio mana timu ikawa haina kiwango kizuri.
Tatizo kubwa la Ivory Cost ni wale Premier league stars Ebue, Yaya, Kolo, Drogba, Zokora, Kalou walikuzwa sana kinyumu na uhalisia wa viwango vyao, Timu walizokua wakicheza ndizo zilizokuwa zinawabeba.
Yaani drogba alikuwa overrated mtu yupo starting 11 ya chelsea na anapiga mabao ya kiulaya
Mbona samata alipiga mabao kule mazembe lakini hatuyaoni akiwa timu ya taifa na wala hajatupeleka afcon?Mbona hayo mabao alishindwa kuyapiga AFCON? mbona alishindwa kuipa taji AFCON timu yake?
Hiyo ID yako tu inaonyesha upoyoyo ndani yake.Wakuu nimetafakari kwa makini na kujiuliza maswali mengi sana ila binafsi nimeona ni hujuma tu hakuna sababu nyingine. Haiwezekani timu iliyokuwa na wakali wote waliokuwa wanavuma kwenye timu zao za Ulaya ishindwe kufanya la maana kwenye world cup au mashindano mengine makubwa.
Hii Ivory Coast ya kina Didier Drogba, Didier Zokora, Cheikh Tiote, Yaya Toure, Kolo Toure, Solomon Kalou, Gervinho, Emmanuel Eboue, Aruna Dindane, na wakali wengine ilibidi ichunguzwe na kutuondelea mashaka kwamba hawakuwa wakifanya hujuma.
FIFA WC Qualification for 20062006: Egypt 3 - 1 Ivory Cast Group Stage
2006: Egypt 0 (4)- 0(2) Ivory Cost Final
2008: Egypt 4 - 1 Ivory Cost Semi Final
Kwa bahati mbaya 2012 Ivory Cost alikimbia mashindano mapema lakini angelikatiza tena mbele ya vidume angekula kichapo chengine.
Wangefikaje kwenye hizo timu bila viwango?Ni players waliokua overrated na ndio mana timu ikawa haina kiwango kizuri.
Tatizo kubwa la Ivory Cost ni wale Premier league stars Ebue, Yaya, Kolo, Drogba, Zokora, Kalou walikuzwa sana kinyumu na uhalisia wa viwango vyao, Timu walizokua wakicheza ndizo zilizokuwa zinawabeba.
Ndo maana nasema walihujumuMbona hayo mabao alishindwa kuyapiga AFCON? mbona alishindwa kuipa taji AFCON timu yake?
Ukishajifungua utakuwa sawa wala usijali. Mimba huwa zinasumbuaHiyo ID yako tu inaonyesha upoyoyo ndani yake.
Pale middle anakichafua mohammed hassan
FIFA WC Qualification for 2006
June 20, 2004; Alexandria - Egypt ; 20:00
Egypt 1:2 Ivory Coast
Aboutrika 55 Dindane 22
Drogba 75
June 19, 2005; Abidjan - Ivory Coast 16:00
Ivory Coast 2:0 Egypt
Drogba 41, 49
Naona umechagua matokeo uliyoyataka wewe tu.
Na Drogba aliinyima Egypt chance ya world cup 2006 kwa kuwafunga nyumbani Alexandria
Toka mwaka 2004 hadi 2022 hizi timu zimekutana mara 8, Egypt kashinda mara 3, Ivory Coast kashinda mara 4 na draw 1. Sasa amua mwenyewe nani kidume kwa mwenzake
Egypt national football team: record v Ivory Coast
Egypt national football team record against Ivory Coast including all match details.www.11v11.com
Nimekuwekea data unaleta mihemko. Unabishana na facts?Unajikanyaga tu mkuu, Egypt aliitandika mikwaju Ivory Cost ya golden generation mara 3 mfululizo kwenye major tournaments, wewe unaleta matokea ya qualifying. Kipigo cha 4 -1 cha semi finale kilikua ni cha mbwa koko kabisa.