Ile Ivory Coast ya kina Drogba, Kolo Toure, Didier Zokora na wakali wengine ilituhujumu waafrika.

Ndo maana nasema walihujumu
Tutambue kuwa mtu mmoja pekee hawezi wezesha timu kutwa kikombe...wengine wana contribution gani? Hapa tuna samatta lakini kila leo tunalia tuu. Alikuwa mazembe anacheka na nyavu.
 
Best team ever
 
Walikutana na kina nani na walitoa ngapi ngapi world cup ?

Kwa kukukumbusha 2006; Argentina 2-1; Holland 2-1; na walimfunga Serbia Montenegro 3-2

Timu zilizopata bahati mbaya ni Ghana kwa kushika mpira ikawa penalty au Cameroon Vs England kwa Gary Lineker ku-dive since then mpira Afrika umeshuka so many Prima Donnas na ile kazi kazi kama ya Cameroon na unkown quantities hazipo tena siku hizi watu wote wanacheza huko Ulaya kwahio World Cup ni kama timu na ma-reserves wao..., Anyway World Cup / Cup Competition inategemea pia na bahati ya group ulilopangwa na momentum na sio necessarily kwamba wewe ni mzuri kwa mwaka huo
 
Tutambue kuwa mtu mmoja pekee hawezi wezesha timu kutwa kikombe...wengine wana contribution gani? Hapa tuna samatta lakini kila leo tunalia tuu. Alikuwa mazembe anacheka na nyavu.

Lakini tunaambiwa kuwa Ivory Cost ilikua ni timu bora yenye wachezaji bora kwenye kila postion. SO hapa kesi ya Samatta haifanani kabisa.
 
Na raisi wa Napoli kashema akisajili mwafrica hakuna kwenda Afcon.Wanatumia mapesa chungu nzima wakiumia wanatelekezewa mizigo.
 
Lakini tunaambiwa kuwa Ivory Cost ilikua ni timu bora yenye wachezaji bora kwenye kila postion. SO hapa kesi ya Samatta haifanani kabisa.
Unaweza kuwa na wachezaji bora lakini huna timu bora. Waulize wabrazil kilichowatokea dhidi ya italy.
 
Real Madrid hiyo ya akina Beckham ilikua ni mdobedwo na ndio mana hawakuchukua vikombe.
Kama Real Madrid ya RONALDO DE LIMA ilikuwa ya hovyo Kipi kinachokufanya uamini IVORY COAST ya Drogba haikuwa ya hovyo?
 
Kama Real Madrid ya RONALDO DE LIMA ilikuwa ya hovyo Kipi kinachokufanya uamini IVORY COAST ya Drogba haikuwa ya hovyo?

Mimi naamini Ivory Cost ya akina Drogba ilikua ni timu ya Ovyo, Mleta mada na wenziwe ndio wanaojaribu kutuaminisha kama ilikua timu yenye ubora mkubwa.
 
Mimi naamini Ivory Cost ya akina Drogba ilikua ni timu ya Ovyo, Mleta mada na wenziwe ndio wanaojaribu kutuaminisha kama ilikua timu yenye ubora mkubwa.
Ukiwa unapinga uwe na sababu ya kisomi. Timu ambayo first eleven nzima inategemewa huko Ulaya iwe ya hovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…