PostGE2025 Ile mifungo ya maombi ya TEC huwa inaishia wapi? Ndio mjue Mungu si binadamu

PostGE2025 Ile mifungo ya maombi ya TEC huwa inaishia wapi? Ndio mjue Mungu si binadamu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi, hawana roho za kuombea amani, Eti ndo wanadhani Mungu atawasikia hopeless kabisa.
Mungu akishasema YES! mtakesha Bure na roho zenu za kishetani.

Mfungo wenye baraka ni ule unaoombea amani, unaokemea maovu (vurugu, wizi, kuharibu Mali za watu na serikali, kuacha matusi) mfungo unaoonya watu dhidi ya kufanya vurugu, mfungo unaowaombea viongozi wetu, mfungo unaoombea uchumi wa Taifa letu, mfungo unaosimama na Maadili ya Taifa letu.

TANZANIA YETU 🇹🇿 ❤️
TUTAILINDA KWA GARAMA KUBWA
 
Waraka mmoja tu wa TEC wa kutaka haki na amani viende pamoja, umeibua vikundi vya kigaidi karibia elfu vya kupambana na TEC huku waliotupiwa shutuma "selekale" ikiogopa hata kuujibu.

Wewe ni hopeless jombaa
 
Waraka mmoja tu wa TEC wa kutaka haki na amani viende pamoja, umeibua vikundi vya kigaidi karibia elfu vya kupambana na TEC huku waliotupiwa shutuma "selekale" ikiogopa hata kuujibu.

Wewe ni hopeless jombaa
Mnafunga mnakunywa pombe badala ya kusali
 
Mfungo umefanya mtu asijipake hina. Kajifungia ikulu ni kulewa tu.

Nikumbushe mfungo wa marejemu Ramadhani Huwa inamsaidia nini
Mnafunga mifungo ya kishetani mkidhani Mungu atawasikia....mna ushetan sana
 
Maombi kwa Mungu yapo kweli na anajibu!

Lakini maombi Toka kwenye taasisi za kijasusi kama RCs lengo lake ni kuhalalisha tukio Fulani lilokubaliwa nyuma ya pazia!

Kwamfano kiongozi anaweza akafa kiss Kawa mtesi wa kanisa na watu wake ,kumbe mipango ishafanyika na maombi no kuhalalisha mpango wenyewe!

Ni sawa na baadhi ya nabii za Kila siku japo sio zote!!

Kwasasa Ni Emmanuel "Mungu pamoja nasi"kumbe ndio ilivyopangwa awe yeye!!
 
Back
Top Bottom