Vp bunge la ulaya linakaa liniNasikia mtu wenu anachanganyikiwa, mashetani yanapanda, huku wengine wanatembea kama vichaa, hawajui hata wanasema nini..na bado.
Mwalimu Nyerere na waasisi wa Taifa hili hawakutukomboa kwa wakoloni tena bila machafuko, ili watukabidhi kwa wakoloni wetu weusi - nyinyi hapo.
Tena wakoloni weupe hawakutuua walipooma watu wameanza kudai uhuru..lkn nyinyi mnaua wenzenu kisa hamtaki kuachia madaraka kwa amani, uonevu, dhuluma, wizi, ufisadi, kujilimbikizia mali...
You people mpo hopeless kabisa, historia itaikumbuka CCM kama chama kilichotoka kwenye misingi yake na kuwa chama cha kukandamiza..
Achana na mm ndugu yanguNakushauri tu ndugu utubu hata kimoyomoyo. Njia za Mungu si.za binadamu. Kumbuka hata enzi za Mussa, ilikuwa katika vita Mussa akishusha mikono Israeli wanakufa kama .nzige. Akinyanyua wanashambulia kama siafu. Nawe pia ujue kuwa humjui Mungu kama Israeli ile ya kale. Hivyo omba tena toba
Kwa majibu yako tu umahitaji counselling. Sio ushauri.Achana na mm ndugu yangu
Yahani niwaombee watu watakaoniteka na kuniua kisha kumtupa barabarani?TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi, hawana roho za kuombea amani, Eti ndo wanadhani Mungu atawasikia hopeless kabisa.
Mungu akishasema YES! mtakesha Bure na roho zenu za kishetani.
Mfungo wenye baraka ni ule unaoombea amani, unaokemea maovu (vurugu, wizi, kuharibu Mali za watu na serikali, kuacha matusi) mfungo unaoonya watu dhidi ya kufanya vurugu, mfungo unaowaombea viongozi wetu, mfungo unaoombea uchumi wa Taifa letu, mfungo unaosimama na Maadili ya Taifa letu.
TANZANIA YETU 🇹🇿 ❤️
TUTAILINDA KWA GARAMA KUBWA
AMINI NAKUAMBIA WALE TEC NI GENGE LA WAHUNI WALIOJIFICHA NYUMA YA VAZI LA IMANI,FUNGA YA WATU WAHUNI WANAOISHI KWA KUPIGA PUNYEYO KAMA TEC HAINA MASHIKOMkata vichwa naona leo umeibuka
Acha kutumia mdomo kufikiri we jamaaWe jamaa unaijua mifungo ww hebu ondoa upumbavu wako hapa
Huyu PADRI ANA USHETANITEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi, hawana roho za kuombea amani, Eti ndo wanadhani Mungu atawasikia hopeless kabisa.
Mungu akishasema YES! mtakesha Bure na roho zenu za kishetani.
Mfungo wenye baraka ni ule unaoombea amani, unaokemea maovu (vurugu, wizi, kuharibu Mali za watu na serikali, kuacha matusi) mfungo unaoonya watu dhidi ya kufanya vurugu, mfungo unaowaombea viongozi wetu, mfungo unaoombea uchumi wa Taifa letu, mfungo unaosimama na Maadili ya Taifa letu.
TANZANIA YETU 🇹🇿 ❤️
TUTAILINDA KWA GARAMA KUBWA