PostGE2025 Ile mifungo ya maombi ya TEC huwa inaishia wapi? Ndio mjue Mungu si binadamu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections


Ukisikia uwendawazimu, ndiyo kama huu uliouandika.
 
Ng'ombe kama hizi zilitakiwa kuchinjwa siku ya D9 kwa ajili ya kuwalisha waandamanaji.
 
Waislam walimuombea samia kuwa majini yampe ulinzi na kumuongoza, sasa tazama Samia anayo fanya ...ndiyo majini hayo hayo yaliyo muongoza Mudi boy....kwenye biblia yesu baada ya kumshinda shetani jangwani imeandikwa wakaja makaika kumtumikia (siyo majini)... NIKIWAAMBIA WAISLAM KUWA UISLAMU NA MASHEKH WENU NI UPUMBAVU MKUBWA SANA MNABISHA.😁
 
Pole sana
 
Pole sana
Mudi boy aliongozwa na jini ....tumia akili je jini ni mjumbe wa mungu ? Ulishawai kusikia popote kuwa mungu anawatuma majini kwa wanadamu kufikisha ujumbe wake? Toka mitume hadi mitume , isipokuwa mudi boy tu ...
 
Nakushauri tu ndugu utubu hata kimoyomoyo. Njia za Mungu si.za binadamu. Kumbuka hata enzi za Mussa, ilikuwa katika vita Mussa akishusha mikono Israeli wanakufa kama .nzige. Akinyanyua wanashambulia kama siafu. Nawe pia ujue kuwa humjui Mungu kama Israeli ile ya kale. Hivyo omba tena toba
 
Ila mfungo unaokemea utekaji na mauaji hauna maana sio? Acha kutumia mdomo kufikiri, tumia ubongo
 
TEC HAWAWEZI KUWA NA MIFUNGO MKUU..WATU KILA SIKU WANAISHI KWA KUPIGA PUNYETO WATAKUWA VIPI NA UHALALI WA KUFUNGA NA KUOMBA.??HAO NI WAHUNI KAMA WAHUNI WENGINE
 
Nasikia mtu wenu anachanganyikiwa, mashetani yanapanda, huku wengine wanatembea kama vichaa, hawajui hata wanasema nini..na bado.
Mwalimu Nyerere na waasisi wa Taifa hili hawakutukomboa kwa wakoloni tena bila machafuko, ili watukabidhi kwa wakoloni wetu weusi - nyinyi hapo.
Tena wakoloni weupe hawakutuua walipooma watu wameanza kudai uhuru..lkn nyinyi mnaua wenzenu kisa hamtaki kuachia madaraka kwa amani, uonevu, dhuluma, wizi, ufisadi, kujilimbikizia mali...
You people mpo hopeless kabisa, historia itaikumbuka CCM kama chama kilichotoka kwenye misingi yake na kuwa chama cha kukandamiza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…