Ile pisi ni kali imenifanya mpaka niunde business card

Ile pisi ni kali imenifanya mpaka niunde business card

Nilishawahi fukuzia Pisi moja benki flan nikatafuta mbinu ya kuipata nikakosa nikaumiza kichwa Sana.
Nikaja na mbinu moja nikawa nachukua hela toka NMB napeleka huko alipokua yeye... mda mwingine nachukua kwa mawakala napeleka pale kwa siku nikawa naenda pale Kama Mara kumi ...siku mbili zilitosha kupata namba mpka kesho nachakata tu na mtoto kanizalia ...!
Kwa akili hizi KATIBA MPYA itakuwa ngumu sana kuipata
 
Mzee mwenzangu wewe sio sharp shooter, sometimes inabidi uwe na subra.
 
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.

Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.

Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.

Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.

Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.

Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).

Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
Komaakomaa mkuu pisi hii kwa utalaam wangu inataka uongeze nguvu kidogo
 
Usiwe na tamaa na wanawake wanaonekana na kila mtu,
Walinzi
Mama ntilie
Wafanyakazi wa bank

Utakuja kupotea kijana hao mpaka ww unawaona washakutana na watu wengi sana.
Hili nalo neno
 
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.

Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.

Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.

Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.

Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.

Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).

Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
CRDB Nyerere,
 
Ahiiiiiiiiiii bhaghoooooshaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..wew kijana hao wadada wametrainiwa kuwa humble for each customers bila kujaji, sasa wew umechekewa kidogo tu ushaamishia akili uko down[emoji23][emoji23], sasa unazan we wakwanza kupga nae story?[emoji23][emoji23] kuna wenzako hapo pia wamekuja tangu asubh na wengine jana wakaacha mpka hela ya mboga( notii noti nyekundu 400k)[emoji23][emoji23] na bado hawajatafutwa wengine wameblockiwa, sasa wew mkono mtupu nan akukumbuke[emoji23][emoji23][emoji23] inauma hee?? mke wa mtu uyooo jombaa tena kibwana chake ni choka mbaya hakina hata ishuu yoyote mjini hapa zaid ya kuvaa vinjunga mjini,na kulamba lips[emoji23][emoji23][emoji23].....acha tamaa
Alikutana na wahudumu wa ndenge atahisi yeye ndio handsome kuwahi kutokea kwenye hiyo ndege.
 
Back
Top Bottom