snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Kwa hiyo umebaki na 99pcs ha ha
Nyingine atupunguzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Kwa hiyo umebaki na 99pcs ha ha
Kesho atapita amuachie nyingine zibaki 98Kwa hiyo umebaki na 99pcs ha ha
Mkuu uyo sio mimi nimemshauri tu jamaa angu! Maana anaonekana kazi kaielewa....!!! Sasa mkono mtupu haulambwi.... Maana hao viumbe wanacheza na hela muda wote kwaiyo huwa wao wenyewe wajilengeshaga kwa wateja wenye miamala mikubwa sasa ndugu lazima Ajikaze na ukikosa atulie ila hakuna kisichowezekana!!!!Duuu haitakiwi uwe na njaa na asipokupa usiumie laki yako kwenda na unaanza zile Bora ningeifanyia hichi.
Ila siwezi toa hela yote kisa mbususu.
Mo mwenyewe akihonga kubwa Sana ni laki. C6 duu wa kibongo akina mooobeeeto Wana complain kuwa unatoka na bilionea afu unaambulia laki. Waweza ona how blacks we invest in sex. It takes much of our energy and our resources like brains,time,money.
Mie naenda na ratio ya Mo kuhonga.
Mo anamiliki dola bilioni 1+ so namie namiliki dola 10k.
So tafuta ratio ya laki to 1+ USD bilioni namie nayemiliki 10k USD natakiwa nihonge ngapi.
Kila la heri mkuu Kama unaitoa laki Kama sh Mia kwangu.
Mie Kuna demu ameshawahi niomba hela ndo amenipa namba nikaifuta.
Naamini anayekupenda hakuombi hela ama kukupiga mzinga
Manesi wauza maduka mawakalaa mabaaa medi na wengine wengi hao kwa siku wanakutana na wanaume wengi sanaUsiwe na tamaa na wanawake wanaonekana na kila mtu,
Walinzi
Mama ntilie
Wafanyakazi wa bank
Utakuja kupotea kijana hao mpaka ww unawaona washakutana na watu wengi sana.
Zilizobaki kapite chuo chochote na bars zigawe zoote kwa hasira
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi namshauri apite kijiweni kwetu tuzitumie kama karata za kamari...
Yes! exactly you said and you've done it.Mkuu uyo sio mimi nimemshauri tu jamaa angu! Maana anaonekana kazi kaielewa....!!! Sasa mkono mtupu haulambwi.... Maana hao viumbe wanacheza na hela muda wote kwaiyo huwa wao wenyewe wajilengeshaga kwa wateja wenye miamala mikubwa sasa ndugu lazima Ajikaze na ukikosa atulie ila hakuna kisichowezekana!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂Mi namshauri apite kijiweni kwetu tuzitumie kama karata za kamari...
to yeye njoo umusikilize kijana wa watu haya ni maisha tu.Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
[emoji23][emoji23][emoji23]Tumefanya nini tena[emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahDuuu haitakiwi uwe na njaa na asipokupa usiumie laki yako kwenda na unaanza zile Bora ningeifanyia hichi.
Ila siwezi toa hela yote kisa mbususu.
Mo mwenyewe akihonga kubwa Sana ni laki. C6 duu wa kibongo akina mooobeeeto Wana complain kuwa unatoka na bilionea afu unaambulia laki. Waweza ona how blacks we invest in sex. It takes much of our energy and our resources like brains,time,money.
Mie naenda na ratio ya Mo kuhonga.
Mo anamiliki dola bilioni 1+ so namie namiliki dola 10k.
So tafuta ratio ya laki to 1+ USD bilioni namie nayemiliki 10k USD natakiwa nihonge ngapi.
Kila la heri mkuu Kama unaitoa laki Kama sh Mia kwangu.
Mie Kuna demu ameshawahi niomba hela ndo amenipa namba nikaifuta.
Naamini anayekupenda hakuombi hela ama kukupiga mzinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa kwanza babeeeh.Ukamuachia bussines card bila hela ya voucher unasubiri tu akutafute we endelea tu kusubiri akutafute
Duh...aisee...nimecheka sana kwa kweli...Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
Hali ngumu kama unavyoona
Hizi ni mbinu za kijeshi. Wakulungwa kibao wameshatumia kuopoa kazi na pisi kali hadi ndoa. Wewe unakuja kuzileta public unatuharibia michakato.Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
Mwalimu wa tuisheni hela ya kula bia katikati ya jiji kwenye fancy bars unaitoa wapi??Njoo city centre tunywe bia ukutane na kali kushinda hiyo
Uber ingekuwa guestUmenikumbusha pisi kali moja matata sana. Nilikua Mwanza kikazi. Mahali poa sana tukaondoka nayo hadi hotelini kwangu akagomea kuingia kwa kudai kulikuwa na party pale na si ajabu wanaomfahamu watakuwepo na wakimuona habari zitafika kwa BF basi usiku ule wa manane tukaanza kusaka hotel au guest house tulienda kama nane hivi zote zimejaa. Mrembo akasema nimechoka naomba nikalale tukutane kesho saa fulani mahali fulani nikasema sawa nikampeleka na uber hadi kwake nami nikaenda kulala huku udenda wangu ukiendelea kuchuruzika yule mwanamke jamani alikuwa mzuri sana na ngozi yake sasa utadhani ya mtoto!!! Kesho yake sikuzuka tena pale nilikuwa nimeshanuna hivyo nikabaki na ugwadu wangu 😩😩😩