Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuna jamaa alikuwa anatoka na mke wa mtu,kilichotokea alipalalaizi viungo vyote vya mwili; sasa hivi ni marehemuYaani kuwa single kunategemeana na mtongozaji. Hivyo we jiongeze tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa alikuwa anatoka na mke wa mtu,kilichotokea alipalalaizi viungo vyote vya mwili; sasa hivi ni marehemuYaani kuwa single kunategemeana na mtongozaji. Hivyo we jiongeze tu.
Ungeomba simu yakeMpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
Tumefanya nini tena[emoji2297]Hata walimu!
Mo fc pasua kichwa bora ashabikie mapenzi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpira umekushinda umeanza kuingia kwenye mapenzi
Hebu usitishe watu bwana we!! Aliparalize kwa magonjwa yake tu.Kuna jamaa alikuwa anatoka na mke wa mtu,kilichotokea alipalalaizi viungo vyote vya mwili; sasa hivi ni marehemu
Mimi nimewahi kuomba live live uso mkavu na nikapata namba fresh tu.hilo ndiyo kosa kubwa nimefanya. niliamini salio la akaunti litashawishi
HmmmmmHahahaha!.
Benki? Sehemu ambayo mtu huweza kuona salio lako bila tatizo. Ameshachungulia, akaona wewe bado.
Kuna pisi niliizimikia. Alikuwa teller PREMIER LOUNGE. Akanihudumia, nikamuomba aniangalizie salio, akaniandikia akanipa. Nikamuachia ya maji. Alinitafuta mwenyewe.
Achana na mambo ya business Card. Hiyo utawapa wanawake wajanja wanaojiweza. Hawa ambao bado wanapata 600k, wewe muombe account number.
Dumbukiza kama 200k. Namba atakupa mwenyewe.
Mengine mtamalizana mnavyojuana.
Duuu haitakiwi uwe na njaa na asipokupa usiumie laki yako kwenda na unaanza zile Bora ningeifanyia hichi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] duuh all the best nigga!! Ila umekosea business card inaenda na kibunda!!! Unampa business card na laki 1 unamwambia ya vocha iyo kuna namba yangu apo kwa card nicheki alafu unaondoka!!! Na unakuwa umepiga perfume ya kiboss haswa unamuacha na harufu ya kiboss kweri kweri lazima angekucheki... Umeenda kinyonge mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikoni Mrembo??Hmmmmm
Hamna kitu ..Kulikoni Mrembo??
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
Love is beautiful achana na ukimwiUkimwi/kifo kinakuhusu
Bonge moja la kiwanja kwa mwanza🙌Njoo city centre tunywe bia ukutane na kali kushinda hiyo