Ile pisi ni kali imenifanya mpaka niunde business card

Ile pisi ni kali imenifanya mpaka niunde business card

Umenikumbusha pisi kali moja matata sana. Nilikua Mwanza kikazi. Mahali poa sana tukaondoka nayo hadi hotelini kwangu akagomea kuingia kwa kudai kulikuwa na party pale na si ajabu wanaomfahamu watakuwepo na wakimuona habari zitafika kwa BF basi usiku ule wa manane tukaanza kusaka hotel au guest house tulienda kama nane hivi zote zimejaa. Mrembo akasema nimechoka naomba nikalale tukutane kesho saa fulani mahali fulani nikasema sawa nikampeleka na uber hadi kwake nami nikaenda kulala huku udenda wangu ukiendelea kuchuruzika yule mwanamke jamani alikuwa mzuri sana na ngozi yake sasa utadhani ya mtoto!!! Kesho yake sikuzuka tena pale nilikuwa nimeshanuna hivyo nikabaki na ugwadu wangu [emoji30][emoji30][emoji30]

Mkuu hukuwa na nia aseee
 
Nilishawahi fukuzia Pisi moja benki flan nikatafuta mbinu ya kuipata nikakosa nikaumiza kichwa Sana.
Nikaja na mbinu moja nikawa nachukua hela toka NMB napeleka huko alipokua yeye... mda mwingine nachukua kwa mawakala napeleka pale kwa siku nikawa naenda pale Kama Mara kumi ...siku mbili zilitosha kupata namba mpka kesho nachakata tu na mtoto kanizalia ...!
Haa ha ha; du!
 
Mkuu mbona unazunguka sana!

Chukua notes za dollar [emoji765] 100 kumi au Tshs 10,000 hadi ziwe za laki moja!

Then andika 1 hadi kumi kwenye zile notes, halafu andika number zako za simu hapo! Maana yake akienda unganisha zile note kuanzia moja hadi kumi,anapata number yako pale!

Mfano 1(0) 2(7) 3(6) 4(7) then unaendelea kuweka number zako! Mbona jioni utapokea simu na maneno ya shukrani nyingi,then potea kama week,nifanye uko busy,siku ukitoka naye out chakata mfugo,labda uwe on her days ndo uache!
unaacha kwa sababu ya her days wakati ushalipia...pelekea motoo peleka moto
 
Nenda kamuombe appointment ya lunch na umpeleke sehemu nzuri mkale samaki na ugali wa muhogo
 
Back
Top Bottom