Ile pisi ni kali imenifanya mpaka niunde business card

Hahahaha!.

Benki? Sehemu ambayo mtu huweza kuona salio lako bila tatizo. Ameshachungulia, akaona wewe bado.

Kuna pisi niliizimikia. Alikuwa teller PREMIER LOUNGE. Akanihudumia, nikamuomba aniangalizie salio, akaniandikia akanipa. Nikamuachia ya maji. Alinitafuta mwenyewe.

Achana na mambo ya business Card. Hiyo utawapa wanawake wajanja wanaojiweza. Hawa ambao bado wanapata 600k, wewe muombe account number.

Dumbukiza kama 200k. Namba atakupa mwenyewe.

Mengine mtamalizana mnavyojuana.
Igweeeeee [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
halafu akitoka job anapenda sana kuogelea,ni mcheshi pia.
JamiiForums-569895185.jpg
 
Ahiiiiiiiiiii bhaghoooooshaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..wew kijana hao wadada wametrainiwa kuwa humble for each customers bila kujaji, sasa wew umechekewa kidogo tu ushaamishia akili uko down[emoji23][emoji23], sasa unazan we wakwanza kupga nae story?[emoji23][emoji23] kuna wenzako hapo pia wamekuja tangu asubh na wengine jana wakaacha mpka hela ya mboga( notii noti nyekundu 400k)[emoji23][emoji23] na bado hawajatafutwa wengine wameblockiwa, sasa wew mkono mtupu nan akukumbuke[emoji23][emoji23][emoji23] inauma hee?? mke wa mtu uyooo jombaa tena kibwana chake ni choka mbaya hakina hata ishuu yoyote mjini hapa zaid ya kuvaa vinjunga mjini,na kulamba lips[emoji23][emoji23][emoji23].....acha tamaa
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.

Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.

Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.

Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.

Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.

Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).

Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
Kwa hili suala blacks , we're good at it hata race zote zinatuheshimu kinouma kwenye ishu za kungonoka.
Na ndo Kuna mabinti wa kizungu ukiwasogelea wazazi wao hawataki wanajua wakionja mziki wetu hawarudi kwao Tena.
"" Once you go black you never come back"" wenyewe Wana kamsemo kao hako.
So watt wanaaminishwa mabaya about blacks so wadada wanakuwa Wana negative na sie.
Mana wanaogopa binti zao wakituonja wameisha. So kwao ni fedhaha kubwa Sana superior race kuolewa na inferior race inayoandamwa na umasikini,ujinga,ukabila,udini,vita ya wenyewe kwa wenyewe,umasikini,inayopenda ngono,inayopenda anasa na Music like,lazy,yaani basi tu Iq ndogo.
Badala ya kulingana tunatengana kisa ukabila cheki Ethiopia kinachotokea ,Rwanda kilitokea Nini na huku Kuna wapo wanaojiona kuwa wao ndio Bora kuliko wengine so wanafaa kumtawala wengine na kuwapangia Cha kufanya.
 
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.

Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.

Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.

Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.

Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.

Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).

Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] duuh all the best nigga!! Ila umekosea business card inaenda na kibunda!!! Unampa business card na laki 1 unamwambia ya vocha iyo kuna namba yangu apo kwa card nicheki alafu unaondoka!!! Na unakuwa umepiga perfume ya kiboss haswa unamuacha na harufu ya kiboss kweri kweri lazima angekucheki... Umeenda kinyonge mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha pisi kali moja matata sana. Nilikua Mwanza kikazi. Mahali poa sana tukaondoka nayo hadi hotelini kwangu akagomea kuingia kwa kudai kulikuwa na party pale na si ajabu wanaomfahamu watakuwepo na wakimuona habari zitafika kwa BF basi usiku ule wa manane tukaanza kusaka hotel au guest house tulienda kama nane hivi zote zimejaa. Mrembo akasema nimechoka naomba nikalale tukutane kesho saa fulani mahali fulani nikasema sawa nikampeleka na uber hadi kwake nami nikaenda kulala huku udenda wangu ukiendelea kuchuruzika yule mwanamke jamani alikuwa mzuri sana na ngozi yake sasa utadhani ya mtoto!!! Kesho yake sikuzuka tena pale nilikuwa nimeshanuna hivyo nikabaki na ugwadu wangu 😩😩😩

Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.

Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.

Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.

Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.

Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.

Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).

Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
 
Dah haya mambo bwana way back mwaka 2017 na 2018 nilikuwa nikitoka nairob break yakwanza kubadilisha fedhapale Dodoma karib na sheli ya gapco kuna benk moja hv siitaji kwa jina
Pisi kali sana kama msomali hv sema ndy hvyo tena sikufanikiwa
 
Back
Top Bottom