casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
Ehee ajali kazini,yani ni ile kama bwai bwaiUnaweza ukaparamia mke wa mtu ukaishia kupewa ulemavu kama kutobolewa macho n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ehee ajali kazini,yani ni ile kama bwai bwaiUnaweza ukaparamia mke wa mtu ukaishia kupewa ulemavu kama kutobolewa macho n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahiiiiiiiiiii bhaghoooooshaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..wew kijana hao wadada wametrainiwa kuwa humble for each customers bila kujaji, sasa wew umechekewa kidogo tu ushaamishia akili uko down[emoji23][emoji23], sasa unazan we wakwanza kupga nae story?[emoji23][emoji23] kuna wenzako hapo pia wamekuja tangu asubh na wengine jana wakaacha mpka hela ya mboga( notii noti nyekundu 400k)[emoji23][emoji23] na bado hawajatafutwa wengine wameblockiwa, sasa wew mkono mtupu nan akukumbuke[emoji23][emoji23][emoji23] inauma hee?? mke wa mtu uyooo jombaa tena kibwana chake ni choka mbaya hakina hata ishuu yoyote mjini hapa zaid ya kuvaa vinjunga mjini,na kulamba lips[emoji23][emoji23][emoji23].....acha tamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha!.
Benki? Sehemu ambayo mtu huweza kuona salio lako bila tatizo. Ameshachungulia, akaona wewe bado.
Kuna pisi niliizimikia. Alikuwa teller PREMIER LOUNGE. Akanihudumia, nikamuomba aniangalizie salio, akaniandikia akanipa. Nikamuachia ya maji. Alinitafuta mwenyewe.
Achana na mambo ya business Card. Hiyo utawapa wanawake wajanja wanaojiweza. Hawa ambao bado wanapata 600k, wewe muombe account number.
Dumbukiza kama 200k. Namba atakupa mwenyewe.
Mengine mtamalizana mnavyojuana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zilizobaki kapite chuo chochote na bars zigawe zoote kwa hasira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana ; komaa kijana hadi kieleweke haina kukata tamaa,ila kwenye business card umeandika wewe ni Managing director ama[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha pisi kali moja matata sana. Nilikua Mwanza kikazi. Mahali poa sana tukaondoka nayo hadi hotelini kwangu akagomea kuingia kwa kudai kulikuwa na party pale na si ajabu wanaomfahamu watakuwepo na wakimuona habari zitafika kwa BF basi usiku ule wa manane tukaanza kusaka hotel au guest house tulienda kama nane hivi zote zimejaa. Mrembo akasema nimechoka naomba nikalale tukutane kesho saa fulani mahali fulani nikasema sawa nikampeleka na uber hadi kwake nami nikaenda kulala huku udenda wangu ukiendelea kuchuruzika yule mwanamke jamani alikuwa mzuri sana na ngozi yake sasa utadhani ya mtoto!!! Kesho yake sikuzuka tena pale nilikuwa nimeshanuna hivyo nikabaki na ugwadu wangu [emoji30][emoji30][emoji30]
Rudi kivingine mabaharia hawakatagi tamaaMkuu ndio nimemwachia namba hajapiga. nisingeweza kumweleza pale kaunta,unawezaje kumwaga mistari watu foleni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaachaje card bila hela ya vocha? Kaa hapo ukiendelea kungojea meli airport.
Hiyo si ajali bali ni kifo cha kujitakiaEhee ajali kazini,yani ni ile kama bwai bwai
Kweli kabisa mkuu, hii nimewahi kuitumia UBA pale buguruni mtoto akajaa kilaini.Hahahaha!.
Benki? Sehemu ambayo mtu huweza kuona salio lako bila tatizo. Ameshachungulia, akaona wewe bado.
Kuna pisi niliizimikia. Alikuwa teller PREMIER LOUNGE. Akanihudumia, nikamuomba aniangalizie salio, akaniandikia akanipa. Nikamuachia ya maji. Alinitafuta mwenyewe.
Achana na mambo ya business Card. Hiyo utawapa wanawake wajanja wanaojiweza. Hawa ambao bado wanapata 600k, wewe muombe account number.
Dumbukiza kama 200k. Namba atakupa mwenyewe.
Mengine mtamalizana mnavyojuana.
Pete hatuvaibasi angesema,mbona hana pete
Hii pwenti inaweza kuwa muhimu sana.Usiwe na tamaa na wanawake wanaonekana na kila mtu,
Walinzi
Mama ntilie
Wafanyakazi wa bank
Utakuja kupotea kijana hao mpaka ww unawaona washakutana na watu wengi sana.
Acha uoga babe, raha jipe mwenyewe.Hii pwenti inaweza kuwa muhimu sana.
Yaani kuwa single kunategemeana na mtongozaji. Hivyo we jiongeze tu.Wakati unampatia business card ungemuuliza tu 'are you single?' hapo lazima angekujibu
Mishabiki ya Simba huwa haijiamini kabisa....Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
Hata walimu!Acha uoga babe, raha jipe mwenyewe.
mmefata mpaka huku wewe na ras jeff kapitaMpira umekushinda umeanza kuingia kwenye mapenzi
mmefata mpaka huku wewe na ras jeff kapita
Hali ngumu kama unavyoonaNilikuwa nakutafuta sana rafiki ni muda kidogo