mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ndomana nasema mpaka sahviKuna watu wanamuona mwl Nyerere kama nabii. Hivi pamoja na kwamba mwl Nyerere alihoji ukubwa wa nyumba lakini je aliikubali ama aliikataa? Aliitoa waqfu kwa mayatima ama ilibaki kuwa mali yake? Ndio, nyumba ilijengwa na jeshi lakini ukifuatilia kwa undani jeshi lilikuwa mkandarasi tu gharama zimelipwa na serikali kwa kuwa ni takwa la kisheria. Nyerere hakuyafanya haya kwa sababu nyuma yake hakukuwepo Rais mstaafu. Kama tunakubali kwamba serikali ina fuja pesa za walipa kodi, itabidi pia tukubali kwamba jeshi lilifuja pesa ya wananchi kwa kumjengea nyumba mwl Nyerere kama hisani kama kweli ilikuwa hivyo, kwa sababu jeshi ni mali ya wananchi (JWTZ) kama ilivyo serikali.
Tusiwalaumu viongozi kwa kutekeleza matakwa ya kisheria, bali tuwalaumu kwa kuwepo sheria hizo.
Serikali inaitunza hiyo familia ya
Nyerere
Ova