Ile roho ya Nyerere kutojilimbikizia Mali na kutotapanya Aliitoa wapi? Mbona baada ya yeye tunapata Marais majanga tu?

Ndomana nasema mpaka sahvi
Serikali inaitunza hiyo familia ya
Nyerere

Ova
 
Naweza kusema wazi kwasasa hatuna viongozi tuna wachumaji pekee
 
Huyu mama amefeli mapema sn kuliko kiongozi yoyote
 
Ndomana nasema mpaka sahvi
Serikali inaitunza hiyo familia ya
Nyerere

Ova
Sheria imeelekeza kumtunza kiongozi husika familia haikutajwa, lakini tunako elekea familia zinaweza zikawemo. Kama ulifuatilia hotuba ya mh Rais aligusia hilo namna ya kuanzisha mchakato wa kisheria kuwatunza na wajane wa viongozi, nadhani wakimaliza hilo kitakacho fuatia ni familia nzima.
 
Kwa maana hiyo aliikubali na kuishi ndani ya nyumba hiyo siku 14 kama mwenye nyumba ila kifo ndio kilisababisha ibaki kuwa tupu. Kama angeendelea kuishi adi leo angekuwa anaishi humo. Na pia pamoja na kifo chake itabaki kuwa ni nyumba ya hayati mwl Nyerere sio ya serikali wala wananchi .
 
Ngoja tusubiri watakavyoenda navyo Mbinguni
 
Hiyo nyumba umeshaiona lakini, au unakomaa na league tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…